VPL: 17 January 2015 live updates

VPL: 17 January 2015 live updates

Deo Corleone Azam TV wanarusha mechi zipi?

Azamtv wanarusha za yanga vs ruvu shooting taifa, Azam fc vs stand united kambarage shinyanga na Mgambo jkt sijui anakipiga na nani vile kule mkwakwani Tanga.
 
Last edited by a moderator:
Timu zinapasha misuli moto hapa Nangwanda, kila la kheir ndanda fc timu ya kukaya.
 
Nawaonea huruma sana Ndanda Fc, cha msingi wajiandae kisaikolojia kwa kipigo! Nipo kirumba nasubiri game ya Kagera ila macho na masikio yapo huko Mtwara
 
Masau bwire''yanga ni kama marehemu na ili marehemu apate heshima yake laz ima azikwe sisi tunaenda kuzika uwanja wa taifa''.
 
Masau bwire''yanga ni kama marehemu na ili marehemu apate heshima yake laz ima azikwe sisi tunaenda kuzika uwanja wa taifa''.
Ndio maana tumpigaga wiki kwa sababu ana mdomo sana huyo masau bwire,
 
Mlioko uwanja wa taifa tupeni yote yanayojili huko, mkuu makoye matale upo wapi???
 
Timu zote zinaingia uwanjani hapa Nangwanda kwa ajili ya kuanza kipute cha dakika 90, kila la kheir timu ya kukaya ndanda fc.
 
Mpira unaanza hapa Nangwanda sijaona mkoani mtwara, ndanda fc 0-0 simba.kila la kheir ndanda fc kuchele
 
Hali ya uwanja ipo shwari kabisa kwa ajili ya kuwakalisha mikia fc hapa Nangwanda

Weka picha ya Nangwanda Stadium( Formerly UMOJA STADIUM) unavyoonekana sasa mara baada ya NDANDA FC kuingia VPL
 
simba sc vs ndanda fc,simba itashinda bao 1_1 ,kama kawa tumerudi kwenye ligi...
 
Kona ya kwanza kuelekea langoni kwa ndanda fc.bado mabao 0-0
 
Hapa majimaji stadium mambo ndo yanaanza.


kumbukeni majimaji ndo itachukua nafasi ya simba ligi kuu
 
Back
Top Bottom