VPL: 17 January 2015 live updates

VPL: 17 January 2015 live updates

Huko taifa hakuna reporters mbona kimya, mkuu makoye matale wapi???
 
Goool simba 1-0 ndanda fc, kila la kheir ndanda fc
 
Dan Sserunkuma kaiandikia Simba goli la kwanza. dak ya 33 kipindi cha kwanza.
 
Ndanda sijuwi kama tutapona msimu huu naona harufu ya daraja la 1.so sad
 
Ndanda bado haichezi mpira wa kuridhisha, hawachezi kitimu kabisa.
 
Aaaaha Serunkuma!! hela isharudi, Mtatukoma mwaka huu na beki zenu mbovu.
 
Back
Top Bottom