VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

Naskia kama la 6 hizi mana nipo ofisini watu wanashangilia huko nje, Watu8 nakutegemea wangu nipe report
 
Julio Pereira aanze kufungasha virago
 
Na kweli umepunguza ushabiki maana tokea nikufahamu sikuwahi kujua kama wewe ni mwana Jangwani hasa kama ulivyonieleza.
Lakini mara moja moja kama hivi sio mbaya bwana.....

Kuna Mkenya anaitwa Selemani Omondi alijinyonga siku Arsenal waliposhushiwa mvua ya mabao na Manchester United, so niliogopa sana maana mimi nikipenda napenda kweli hata mwanamke aliyepata bahati ya kuchaguliwa na mimi anajuwa nampenda kwelikweli kwa dhati.

Kwahiyo mtu ukijitambuwa ulivyo unatakiwa ujiseti mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…