VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

Kwa wenye kumbukumbu, hivi kuna timu ilishapigwa 8 - 0 toka ligi ianze au leo historia tena?

Kagera alipigwa 8 na Yanga mwaka 1993 kama sijakosea, zile enzi za Lunyamila, Mohamed Husein na Saidi Mwamba.
 
namanyele update na matokeo ya azam basi
 
Last edited by a moderator:
Ahaaaaa!!kumbe ratiba ya hii gemu ilikua tar18.04.2015.
Nimemsikia Julio kwamba wachezi wake walikua kwenye mapumziko ya pasaka na jana ndio kapata ratiba ya game leo Dar!!!Sasa msijisifie tena,tena komeni kujisifia!!!
 
Acha kabisa nimetoka huko barabarani shangwe ni la ajabu!
Pamechangamka sio kidogo....changanua kama ubadili uamuzi au lah ila kama kesho unaenda kazini ni bora ubaki home tu.

Mimi Boss mwenyewe ila leo nimechoka sana mwili i need to rest.
 
Ukipata unistue na mimi nahitaji

Ahaaaa.
Mkuu nimeku PM zinapopatikana.
But why ununue wakati za bure zinakuja?
We subiri wanaume wanakuja na kontena zima mkuu!!!
Hawa wafuga kambare watakoma tuu nyambafu zao!!!!
Mungu si Manji!!!
 
Ahaaaaa!!kumbe ratiba ya hii gemu ilikua tar18.04.2015.
Nimemsikia Julio kwamba wachezi wake walikua kwenye mapumziko ya pasaka na jana ndio kapata ratiba ya game leo Dar!!!Sasa msijisifie tena,tena komeni kujisifia!!!

loh mtaji wa jagombee
 
Kipigo walichokipata Coastal Union kimesababishwa na kuamini uchawi, maana walipoingia tu uwanjani kabla wachezaji hawajashuka kwenye basi lao mtu mmoja alishuka kwanza na kumwaga chini kitu mithili ya damu hivi na kila mchezaji alitakiwa akanyage majimaji hayo.
 
Acha kabisa nimetoka huko barabarani shangwe ni la ajabu!
Pamechangamka sio kidogo....changanua kama ubadili uamuzi au lah ila kama kesho unaenda kazini ni bora ubaki home tu.

Nimeingia mtaani na gari nimejikuta nimekanyanga mkaa makopo matatu ya 500/= kila mmoja nikalipa 2,000/= na kusepa. Mwenye mkaa kafurahi kuingiza kipato ghafla na huku mabaki ya mkaa nimemwachia, nimepaki, siondoki tena.

Ee Yanga mbona unatuingiza matatani?
 
Wanayanga mie ni mwenzenu ni mgeni humu ndani,na pia huku ndiko nikupendako,nikaribisheni ili tuwe kitu kimoja mpaka kifo.Mimi ni Yanga DAMU!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…