Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu azam nao vipi matokeo?? Hongereni sana
Wapi nitapata jezi za Etoil Du sahel?
Kwa wenye kumbukumbu, hivi kuna timu ilishapigwa 8 - 0 toka ligi ianze au leo historia tena?
Ukipata unistue na mimi nahitaji
Hata sijui mimi najua ya Yanga yangu tu basi.
mkuu Za asubuhi??
Usikute coastal waliroga hii mechi..wazee wa msisiri..
Acha kabisa nimetoka huko barabarani shangwe ni la ajabu!
Pamechangamka sio kidogo....changanua kama ubadili uamuzi au lah ila kama kesho unaenda kazini ni bora ubaki home tu.
Ukipata unistue na mimi nahitaji
Ahaaaaa!!kumbe ratiba ya hii gemu ilikua tar18.04.2015.
Nimemsikia Julio kwamba wachezi wake walikua kwenye mapumziko ya pasaka na jana ndio kapata ratiba ya game leo Dar!!!Sasa msijisifie tena,tena komeni kujisifia!!!
Acha kabisa nimetoka huko barabarani shangwe ni la ajabu!
Pamechangamka sio kidogo....changanua kama ubadili uamuzi au lah ila kama kesho unaenda kazini ni bora ubaki home tu.