VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

Ngoja walau nigonge bia ya Uganda......maana leo za Tanzania hapa nilipo zimenywewa zote kisa Yanga 8...
 

Attachments

  • 1428512793278.jpg
    53.2 KB · Views: 294
mbega ni aina ya mnyama jamii ya nyani hupatikana sana huko Unguja...wana manyoya mazuri

nashukuru mkuu kwa ufafanuzi, maana kwa goli hizi furaha inazidi hakuna haja ya kuumiza kichwa unauliza unapata jibu unaendelea kugonga povu. Hii ni castle larger ya 8.
 
Vipi leo huna 'chochote' kuhusu hii mechi?

Kwa kweli leo sina chochote maana sijasikiliza redion wala sijaangalia kwenye kideo, sana sana nilikuwa napata update ya matokeo tu hapa.
 
Kwa kweli leo sina chochote maana sijasikiliza redion wala sijaangalia kwenye kideo, sana sana nilikuwa napata update ya matokeo tu hapa.

Cha msingi Yanga imechukuwa point zote 3 na magori 8, hayo mengine utajiju mwenyewe.
 

usisahau kumnunulia na hawa samaki mi ndio nakula niingie uwanjan
 

Attachments

  • 1428707038263.jpg
    53.1 KB · Views: 185
Eti watu wa soka wanachoweza kucheza mechi mbili tu nazo za Yanga
 

Attachments

  • 1428537875570.jpg
    54.5 KB · Views: 131

Attachments

  • mbega1.png
    32 KB · Views: 100
  • mbega2.png
    23.2 KB · Views: 99
  • mbega3.jpg
    9.8 KB · Views: 80
  • mbega4.jpg
    6.5 KB · Views: 179
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…