VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

Kwa wenye kumbukumbu, hivi kuna timu ilishapigwa 8 - 0 toka ligi ianze au leo historia tena?
 
Haya sasa wale mabingwa wa kubashiri vichwa vya habari bashirini vichwa vya habari magazeti ya kesho..naanza mimi,

1.YANGA: treni limekata breki
2.YANGA chinja chinja
3.tambwe MOTO wa kuotea mbali
4..YANGA yatuma salam kwa waarabu
5: Etoile du saleh waingiwa mchecheto
6
7
8
 
Yanga wana stock kubwa ya wachezaji nimefurahi kumuona Nizar katika ubora wake
 
YANGA,africa yanga africa umoja wa mataifa , mabingwa wa africa mashariki nå kati - hayo ni maneno ya hayati pepe kale aliyekuwa shabiki nå mwanachama wa ukweli wa tumia pendwa ya wananchi YANGA

 
Last edited by a moderator:
Si vibaya zote zichunguzwe, haiwezekani icheze timu moja uwanjani halafu ile ingine imetulia kama kwamba hawapo uwanjani

We nawe hebu tuache tufurahie.
Madrid kampiga mtu goli 9 mbona hajachunguzwa?
Tottenham naye aliwahi mtupia Sunderland goli 9, Defoe akiingia golini mara 5.
Unakuja kushangaa kwa Yanga timu bora kabisa Tanzania na ukanda huu wa Afrika mashariki na kati kumtupia Coastal goli 8.!
 
Haya sasa wale mabingwa wa kubashiri vichwa vya habari bashirini vichwa vya habari magazeti ya kesho..naanza mimi,

1.YANGA: treni limekata breki
2.YANGA chinja chinja
3.tambwe MOTO wa kuotea mbali
4..YANGA yatuma salam kwa waarabu
5: Etoile du saleh waingiwa mchecheto
6
7
8

Yanga:Lori la mchanga limekata breki kitonga
 
Kelele nyiingi!, hamna cha ajabu hapa..
 
Kumbukumbu ambazo huwa hazisahuliki ni 6-0 ya mwaka 1977 na 5-0 ya mwaka 2012

Soma upya uelewe retarded wewe. Yanga ataendelea kuwa bingwa wa kihistoria Tanzania kwa miaka hamsini ijayo.
 
Haya mapenzi ya mpira noma sana kiukweli.Ile game ya Arsenal vs Manchester United sitokaa niisahau maisha yangu yote maana sikulala kabisa na kesho yake nilishindwa hata kutoka ndani.
Kuna kitu umesema hapo mimi pia niko hivyo hivyo kabisa.

Mmh! mapenzi yanarun dunia.............akipenda kapenda kweli.

Msikilize vizuri Ally Kiba kwenye hicho kipande.
 
tukutaneni pale simba kapakatwa pub tufurahie ushindi, nafasi ya upendeleo kwa wanazi 10 wa mikia watakao wahi watapata vinywaji bure kabisa
 
Back
Top Bottom