Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaangalia Mpira. ...ila nasikia raha sana kwa ushindi huu mnono wa Leo....hakika babu plujm ni kocha mzuri
Hii Coastal ndio ile timu ya Julio Alberto Tarantini Pereira?
YANGA,africa yanga africa umoja wa mataifa , mabingwa wa africa mashariki nå kati - hayo ni maneno ya hayati pepe kale aliyekuwa shabiki nå mwanachama wa ukweli wa tumia pendwa ya wananchi YANGA
Si vibaya zote zichunguzwe, haiwezekani icheze timu moja uwanjani halafu ile ingine imetulia kama kwamba hawapo uwanjani
Kwa wenye kumbukumbu, hivi kuna timu ilishapigwa 8 - 0 toka ligi ianze au leo historia tena?
Haya sasa wale mabingwa wa kubashiri vichwa vya habari bashirini vichwa vya habari magazeti ya kesho..naanza mimi,
1.YANGA: treni limekata breki
2.YANGA chinja chinja
3.tambwe MOTO wa kuotea mbali
4..YANGA yatuma salam kwa waarabu
5: Etoile du saleh waingiwa mchecheto
6
7
8
Kumbukumbu ambazo huwa hazisahuliki ni 6-0 ya mwaka 1977 na 5-0 ya mwaka 2012
Kumbukumbu ambazo huwa hazisahuliki ni 6-0 ya mwaka 1977 na 5-0 ya mwaka 2012
Haya mapenzi ya mpira noma sana kiukweli.Ile game ya Arsenal vs Manchester United sitokaa niisahau maisha yangu yote maana sikulala kabisa na kesho yake nilishindwa hata kutoka ndani.
Kuna kitu umesema hapo mimi pia niko hivyo hivyo kabisa.
Bado mupo mnaoitakia coastal ushindi!!!?Friends of Coastal tunaitakia timu yetu ushindi dhidi ya Yeboyebo