Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Mbona zinapatikana kwa wingi pale mitaa ya msimbazi?
Haya poa poa......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona zinapatikana kwa wingi pale mitaa ya msimbazi?
Kwa kweli leo mmekomesha, hongereni sana kwa ushindi mnono. Angalizo; Msije mkalinganisha waarabu na hii Coastal Union la sivyo siku mkikutana nao hasa kwa msije mkashindwa kula bure.Kwa waarabu nahisi timu itakuwa imetimia hata Coutinho anaweza akawa kapona...
Nimeingia mtaani na gari nimejikuta nimekanyanga mkaa makopo matatu ya 500/= kila mmoja nikalipa 2,000/= na kusepa. Mwenye mkaa kafurahi kuingiza kipato ghafla na huku mabaki ya mkaa nimemwachia, nimepaki, siondoki tena.
Ee Yanga mbona unatuingiza matatani?
Kipigo walichokipata Coastal Union kimesababishwa na kuamini uchawi, maana walipoingia tu uwanjani kabla wachezaji hawajashuka kwenye basi lao mtu mmoja alishuka kwanza na kumwaga chini kitu mithili ya damu hivi na kila mchezaji alitakiwa akanyage majimaji hayo.
Wanayanga mie ni mwenzenu ni mgeni humu ndani,na pia huku ndiko nikupendako,nikaribisheni ili tuwe kitu kimoja mpaka kifo.Mimi ni Yanga DAMU!!!
Ahaaaaa!!kumbe ratiba ya hii gemu ilikua tar18.04.2015.
Nimemsikia Julio kwamba wachezi wake walikua kwenye mapumziko ya pasaka na jana ndio kapata ratiba ya game leo Dar!!!Sasa msijisifie tena,tena komeni kujisifia!!!
Mimi Boss mwenyewe ila leo nimechoka sana mwili i need to rest.
Hongereni.
DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS WAFANYA MAUAJI YA KIMBARI UWANJA WA TAIFA. MTU KALA GOLI NANE MTUNGI...
YANGA SC YAIFUNGA COASTAL UNION MABAO 8-0 - Global Publishers
Timu yenyewe costal union yaan unaua sisimiz kwa tofali alafu unaondoka huku unashingilia na kujisifia
Kwa kweli leo mmekomesha, hongereni sana kwa ushindi mnono. Angalizo; Msije mkalinganisha waarabu na hii Coastal Union la sivyo siku mkikutana nao hasa kwa msije mkashindwa kula bure.
nyie mliobakia mjisalimishe mapemaa