Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As long as wanashiriki ligi kuu, lazima nishangilie... Real Madrid kuwafunga Granada goli 9 -0 mmeshangilia. Mimi kushangilia Yanga kuifunga Coastal Union tena ya Julio, imekuwa nongwa. Mwee makubwa hayo!!!!!!!!!!!
nimemskia Julio jana akilia sana kua amekurupushwa na hakujua kama kuna mechi jumatano. Kama ni kweli basi TFF mnaharibu soka la TZ
Goli 8 zimekuchanganya mpaka kuandika kunakupa taabu, ni "kipimi" au kipimo?!Kama coastal ndii kipimi sahihi cha waarabu endelea kushangilia mara ya mwisho
Goli 8 zimekuchanganya mpaka kuandika kunakupa taabu, ni "kipimi" au kipimo?!
Goli 8 zimekuchanganya mpaka kuandika kunakupa taabu, ni "kipimi" au kipimo?!