Kwa upande wenuSimba wamechachamaaaaaaaaa, nadhani hii mechi itakuwa na magoli mengi sana.
Ha ha haKwa upande wenu
kikundi chya wahuni hicho..Hii ndio timu inayojiandaa kwenda kupambana na kina wydad Casablanca?
Na Yanga piaHii ndio timu inayojiandaa kwenda kupambana na kina wydad Casablanca?
Na kama hao ndio mabingwa wa nchi, basi wengine wasifikirie kabisa kucheza makundiEti wanaitaka CAF hahaha itawachukua miaka 70
Kumbe mo ni chizi
Nakubali...Na kama hao ndio mabingwa wa nchi, basi wengine wasifikirie kabisa kucheza makundi
Ndio wachezaji wenu...kikosi kipanaNiseme ukweli jamani, kwa kikosi kilichopo;
Kennedy Juma
Mzamiru
Dilunga hawapaswi kuanza kikosi cha kwanza kwa sasa pale Simba hata kwa Uchawi lkn benchi letu sjui wanajaribu kitu gani.
Yote kwa yote ushindi ni muhimu Simba nguvu moja Daima
Kukukishingo uwa mzito sana wa kufanya sub.tusiposhinda hii mechi akatafute usafiri wake atakaoujua yeye tumkute klabuni kesho asubuhi.Niseme ukweli jamani, kwa kikosi kilichopo;
Kennedy Juma
Mzamiru
Dilunga hawapaswi kuanza kikosi cha kwanza kwa sasa pale Simba hata kwa Uchawi lkn benchi letu sjui wanajaribu kitu gani.
Yote kwa yote ushindi ni muhimu Simba nguvu moja Daima