VPL: Ihefu FC 1-2 Simba SC Sokoine, Mbeya

[SUB]Hatari sana kutoka kwa nungunungu hapa. [/SUB]
 
Simba wamechachamaaaaaaaaa, nadhani hii mechi itakuwa na magoli mengi sana.
 
Eti wanaitaka CAF hahaha itawachukua miaka 70

Kumbe mo ni chizi
 
Ila Onyango si yupo kwani imekuwaje hadi wapenyezwe?
 
Hiefu watoto wadogo kwa Simba watavua chupi lazima na watakaa kifo cha mende usikukucha watake wasitake.
 
Niseme ukweli jamani, kwa kikosi kilichopo;
Kennedy Juma
Mzamiru
Dilunga hawapaswi kuanza kikosi cha kwanza kwa sasa pale Simba hata kwa Uchawi lkn benchi letu sjui wanajaribu kitu gani.
Yote kwa yote ushindi ni muhimu Simba nguvu moja Daima
 
Ndio wachezaji wenu...kikosi kipana
 
Niseme ukweli jamani, kwa kikosi kilichopo;
Kennedy Juma
Mzamiru
Dilunga hawapaswi kuanza kikosi cha kwanza kwa sasa pale Simba hata kwa Uchawi lkn benchi letu sjui wanajaribu kitu gani.
Yote kwa yote ushindi ni muhimu Simba nguvu moja Daima
Kukukishingo uwa mzito sana wa kufanya sub.tusiposhinda hii mechi akatafute usafiri wake atakaoujua yeye tumkute klabuni kesho asubuhi.
 
Back
Top Bottom