VPL leo tar. 21/04/2015: Yanga vs Stand United


una akili sana ila hii huwa kwa uongozi wa timu za bongo huwa haifanyi kazi..
 
Chama la Wana!! Wanashinda wachezaji watakomaa wasilaumiwe Wambura. Leo Yanga wanatupa uhakika wa kutoshuka daraja
 
Ahahahaaaaaaa Jezi ya Oscar Jushua imechanika tumbo linaonekana......ila hataki kubadili
 

Simba ndio inatumia pesa zake yenyewe? Ndio maana Mhaini anafanya atakalo licha ya kwamba hana nafasi ya uongozi maana ndio anasajili wachezaji wenu. Afadhali Yanga inajulikana Manji anatoa hela yake na kapewa uongozi. Simba mtu yeyote anawapelekesha tu. Kwa Mohammed Dewji mmenda kufanya nini kama si ufadhili huo huo?
 
Kwani kila kitu lazima ufanye comparison ya Simba na Yanga?
 
Sijui washakula loto maana ilitakiwa kipindi cha pili ndio wasawazishe..
 
Wamekufaaaaaaaaa
Yanga 2-1 stand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…