sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Ona unavyotetemeka hadi kuandika vizuri huwezi.
Holi ndio kitu gani? Tulia wewe muda bado sana.
Hahaha.. Naona mmesawazisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona unavyotetemeka hadi kuandika vizuri huwezi.
Holi ndio kitu gani? Tulia wewe muda bado sana.
Ndio akili za wabongo zilipoishia, wanadhani mfadhili atakuwa anatoa hela siku zote tu. Mpira ni uwekezaji, na uwekezaji unahitaji fedha nyingi. Bila vilabu kutumia potential zilizopo (washabiki) katika kuingiza mapato, tutaendelea kutegemea wafadhili tena wasiotabirika. Mwaka jana Yanga walilazimika kumpigia magoti tajiri mmoja aendelee kuwa kiongozi ili awe karibu na timu.
Wenzetu akina TP Mazembe na akina Etoile walifanya hivi; walikusanya vyanzo vya mapato (wafadhili, viingilio, wadhamini, mikopo) wakawekeza katika kusajili na kuandaa wachezaji bora kabisa kutoka pande mbalimbali za Afrika. Timu zao zikaanza kuingia nane bora, wakati mwingine nne bora, halafu mabingwa. Ukiingia nane bora kwenda juu unapata ruzuku ya mamilioni ya CAF. Ukiingia mara nne mfululizo unakuwa na hela za kutosha kusajili kwa kiwango kile kile kwa kutumia hela za CAF na wadhamini bila ya kutegemea vyanzo vya wafadhili na viingilio. Kuanzia hapo klabu inakuwa inajiendesha kwa faida na si rahisi kuporomoka tena kwani inakuwa na hela za kusajili akina Samata na akina Frank Kom.
Lakini kwa Yanga, mawazo yote ya hela yanaangukia kwa mfadhili, na bahati mbaya mara zote timu inatolewa raundi ya kwanza!
Kuna goli zinakuja kwa stend united.
Hahahahaaaaaahahaaaaaaa........utajiua bureeee
Tulia hapohapo,magoli mengine yanakuja.Hahaha.. Naona mmesawazisha.
Baada ya ubingwa Etoile ileeeeeeee!
Ndio akili za wabongo zilipoishia, wanadhani mfadhili atakuwa anatoa hela siku zote tu. Mpira ni uwekezaji, na uwekezaji unahitaji fedha nyingi. Bila vilabu kutumia potential zilizopo (washabiki) katika kuingiza mapato, tutaendelea kutegemea wafadhili tena wasiotabirika. Mwaka jana Yanga walilazimika kumpigia magoti tajiri mmoja aendelee kuwa kiongozi ili awe karibu na timu.
Wenzetu akina TP Mazembe na akina Etoile walifanya hivi; walikusanya vyanzo vya mapato (wafadhili, viingilio, wadhamini, mikopo) wakawekeza katika kusajili na kuandaa wachezaji bora kabisa kutoka pande mbalimbali za Afrika. Timu zao zikaanza kuingia nane bora, wakati mwingine nne bora, halafu mabingwa. Ukiingia nane bora kwenda juu unapata ruzuku ya mamilioni ya CAF. Ukiingia mara nne mfululizo unakuwa na hela za kutosha kusajili kwa kiwango kile kile kwa kutumia hela za CAF na wadhamini bila ya kutegemea vyanzo vya wafadhili na viingilio. Kuanzia hapo klabu inakuwa inajiendesha kwa faida na si rahisi kuporomoka tena kwani inakuwa na hela za kusajili akina Samata na akina Frank Kom.
Lakini kwa Yanga, mawazo yote ya hela yanaangukia kwa mfadhili, na bahati mbaya mara zote timu inatolewa raundi ya kwanza!
Sentensi tata hii hebu fafanua
maana ake yanga anafungwa..
maana ake yanga anafungwa..
Kwani kila kitu lazima ufanye comparison ya Simba na Yanga?Simba ndio inatumia pesa zake yenyewe? Ndio maana Mhaini anafanya atakalo licha ya kwamba hana nafasi ya uongozi maana ndio anasajili wachezaji wenu. Afadhali Yanga inajulikana Manji anatoa hela yake na kapewa uongozi. Simba mtu yeyote anawapelekesha tu. Kwa Mohammed Dewji mmenda kufanya nini kama si ufadhili huo huo?