VPL leo tar. 21/04/2015: Yanga vs Stand United

Sawa kushinda mtashinda.. Ila inakuaje mchezaji wenu ancheza akiwa uchi? Hamna jezi za akiba? Au inshu ya kuwa Yanga kuna Kansa inaitwa "ukata" inawatafuna taratibu, tuanze kuamini?

Huo mchaniko ndiyo mtambo wa magoli! Ha ha haaaa! just a joke.
 

Nilisahau kuwawekea picha ya ukumbi unaitwa Wembley Stadium.
 

Attachments

  • 1429624794498.jpg
    75.4 KB · Views: 206
Hahahaaah,,,,,,,,dada Bantu lady hiyo ID achana nayo, bahati nzuri tunaijua watatu tu, mimi, wewe na yeye.

Hahahahaaaaaaaaaa wachenjela papo mkombe.....hahahahah......awe wa ufiii......mie namshauri aedit......iwe Lufono Kapwila Matulu
 
Last edited by a moderator:
Wana unafuu kidogo, kwani their sponsorship is stable. Ni tofauti na vilabu vya wanachama, mfadhili anaangalia kuna kiongozi gani pale klabuni. ina maana kila baada ya miaka ya madarakani mawazo ya sponsorship yanaweza kubadilika kwa kuwa wanachama ndio wanaochagua viongozi, na wanaweza kumchagua kichaa yeyote. Kwa hiyo ufadhili hauwezi ukaenda beyond kipindi cha utawala wa kiongozi anayeendana na mawazo ya mfadhili, hence uwekezaji. Ni vigumu kuchomoka. I wish hivi vilabu vyenye washabiki wengi vingekuwa vinamilikiwa na tajiri mmoja mmoja, nafasi ya wapenzi na washabiki inabaki kuingia uwanjani kushangilia lakini hakuna cha uchaguzi wa viongozi wala kadi za uanachama
 
Hahahahaaaaaaaaaa wachenjela papo mkombe.....hahahahah......awe wa ufiii......mie namshauri aedit......iwe Lufono Kapwila Matulu

Ha ha ha haaah,,,,,, Ta Muganyizi nimeungaunga hapo usinicheke.
Akiibadili hivyo si ndio ataharibu zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…