nani mfungaji wa gol la pili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani mfungaji wa gol la pili
Ni-pm nami nimfahamu huyu Mkuu.
Sawa kushinda mtashinda.. Ila inakuaje mchezaji wenu ancheza akiwa uchi? Hamna jezi za akiba? Au inshu ya kuwa Yanga kuna Kansa inaitwa "ukata" inawatafuna taratibu, tuanze kuamini?
Yaani niko ukumbini hapa Kashai........Kata yenye wakazi wengi bukoba Manispaaa ambako uchaguzi wa serikalimza mitaa hakuna hata mjumbe mmoja kutoka ccm alipata chansi yaani mzuka umewapanda washabiki yaani ni burudani tupuuu. Shabiki mmoja wa Simba kesha maindiwa na mashabiki wa yanga.....wako wanachanga kiingilio atolewe nje.
Best luck stend japokuwa mshanunuliwa..
Fwandi nawe wa kung'anda? Izina lilo utachimunena mod!
Huo mchaniko ndiyo mtambo wa magoli! Ha ha haaaa! just a joke.
nani mfungaji wa gol la pili
Namzingua simfahamu........ila ukiangalia listi ya mateja wa jangwani walio watukutu humu spoti utamjua.
nani mfungaji wa gol la pili
Hahahaaah,,,,,,,,dada Bantu lady hiyo ID achana nayo, bahati nzuri tunaijua watatu tu, mimi, wewe na yeye.
Fwandi nawe wa kung'anda? Izina lilo utachimunena mod!
Huyu ni mikia ID yake inaanza na herufi 'N' .... na kuishia na ..'a'.
Wana unafuu kidogo, kwani their sponsorship is stable. Ni tofauti na vilabu vya wanachama, mfadhili anaangalia kuna kiongozi gani pale klabuni. ina maana kila baada ya miaka ya madarakani mawazo ya sponsorship yanaweza kubadilika kwa kuwa wanachama ndio wanaochagua viongozi, na wanaweza kumchagua kichaa yeyote. Kwa hiyo ufadhili hauwezi ukaenda beyond kipindi cha utawala wa kiongozi anayeendana na mawazo ya mfadhili, hence uwekezaji. Ni vigumu kuchomoka. I wish hivi vilabu vyenye washabiki wengi vingekuwa vinamilikiwa na tajiri mmoja mmoja, nafasi ya wapenzi na washabiki inabaki kuingia uwanjani kushangilia lakini hakuna cha uchaguzi wa viongozi wala kadi za uanachamaReading between the lines uliyoandika ndio maana yake hiyo. Azam ni issue nyingine na hatuwezi kuwa judge labda baada ya miaka mingine mitano hivi. Kwenye financial fair play bado wapo kama Yanga na Simba tu. Hela ni ya tajiri sio ya club kama commercial entity.
Hahahahaaaaaaaaaa wachenjela papo mkombe.....hahahahah......awe wa ufiii......mie namshauri aedit......iwe Lufono Kapwila Matulu
Ha ha haa!Nitamtafsiria....hahahahaaa awe nadanganya.
Ha ha ha haaah,,,,,, Ta Muganyizi nimeungaunga hapo usinicheke.
Akiibadili hivyo si ndio ataharibu zaidi.