Huyu ni mikia ID yake inaanza na herufi 'N' .... na kuishia na ..'a'.
Hahahaah,,,,halafu mtata mtata sijui wa wapi huyu, au namanyele?
nani mfungaji wa gol la pili
Wana unafuu kidogo, kwani their sponsorship is stable. Ni tofauti na vilabu vya wanachama, mfadhili anaangalia kuna kiongozi gani pale klabuni. ina maana kila baada ya miaka ya madarakani mawazo ya sponsorship yanaweza kubadilika kwa kuwa wanachama ndio wanaochagua viongozi, na wanaweza kumchagua kichaa yeyote. Kwa hiyo ufadhili hauwezi ukaenda beyond kipindi cha utawala wa kiongozi anayeendana na mawazo ya mfadhili, hence uwekezaji. Ni vigumu kuchomoka. I wish hivi vilabu vyenye washabiki wengi vingekuwa vinamilikiwa na tajiri mmoja mmoja, nafasi ya wapenzi na washabiki inabaki kuingia uwanjani kushangilia lakini hakuna cha uchaguzi wa viongozi wala kadi za uanachama
Tukishinda hii game...point 7 mbele ya wana lamba lamba AZAM
Basi tutavumiliana huku kwenye viwanja vya soka, kwingine tuko pamojaMama wane wa kung'anda, powa nimekuelewa kaka, ila wewe mikia bana aaah
Kipindi cha pili hakijaanza??
vibonde hamkosi maneno?kwa maana hiyo simba walinunuliwa na mbeya city?
Hahahaah,,,,halafu mtata mtata sijui wa wapi huyu, au namanyele?
Mtata kuliko Ally Kessy? Nene wa kuli ChanjiHa ha ha hahahahaaa yawezekana kaka, eti Kapwila Matulu wa wapi weye? Mbona machachari sana...
Kipindi cha pili hakijaanza??
Wana unafuu kidogo, kwani their sponsorship is stable. Ni tofauti na vilabu vya wanachama, mfadhili anaangalia kuna kiongozi gani pale klabuni. ina maana kila baada ya miaka ya madarakani mawazo ya sponsorship yanaweza kubadilika kwa kuwa wanachama ndio wanaochagua viongozi, na wanaweza kumchagua kichaa yeyote. Kwa hiyo ufadhili hauwezi ukaenda beyond kipindi cha utawala wa kiongozi anayeendana na mawazo ya mfadhili, hence uwekezaji. Ni vigumu kuchomoka. I wish hivi vilabu vyenye washabiki wengi vingekuwa vinamilikiwa na tajiri mmoja mmoja, nafasi ya wapenzi na washabiki inabaki kuingia uwanjani kushangilia lakini hakuna cha uchaguzi wa viongozi wala kadi za uanachama
Mtata kuliko Ally Kessy? Nene wa kuli Chanji