VPL leo tar. 21/04/2015: Yanga vs Stand United

VPL leo tar. 21/04/2015: Yanga vs Stand United

Wana unafuu kidogo, kwani their sponsorship is stable. Ni tofauti na vilabu vya wanachama, mfadhili anaangalia kuna kiongozi gani pale klabuni. ina maana kila baada ya miaka ya madarakani mawazo ya sponsorship yanaweza kubadilika kwa kuwa wanachama ndio wanaochagua viongozi, na wanaweza kumchagua kichaa yeyote. Kwa hiyo ufadhili hauwezi ukaenda beyond kipindi cha utawala wa kiongozi anayeendana na mawazo ya mfadhili, hence uwekezaji. Ni vigumu kuchomoka. I wish hivi vilabu vyenye washabiki wengi vingekuwa vinamilikiwa na tajiri mmoja mmoja, nafasi ya wapenzi na washabiki inabaki kuingia uwanjani kushangilia lakini hakuna cha uchaguzi wa viongozi wala kadi za uanachama

Mbona Real Madrid wanachagua kiongozi kwa kura? Na wako stable?
 
Tukishinda hii game...point 7 mbele ya wana lamba lamba AZAM

Sasa hivi Mkuu hatuangalii tena tofauti ya pointi kati yetu na Azam, tunachoangalia sasa ni pointi ngapi kufikia ubingwa. Kama tukushinda tutabakiza pointi 6 tu ambazo ziko kwa Polisi Moro na Ruvu Shooting.
 
Kwa kweli stand united wanacheza vizuri sana,wanaonekana wamepania,walichobugi ni kutufunha dakika za mapema so wamewaonhezea yanga umakini
 
Kwa nini yanga isiondolewe kwenye haya mashindano ili iendelee na mambo mengine!!?
 
Wana unafuu kidogo, kwani their sponsorship is stable. Ni tofauti na vilabu vya wanachama, mfadhili anaangalia kuna kiongozi gani pale klabuni. ina maana kila baada ya miaka ya madarakani mawazo ya sponsorship yanaweza kubadilika kwa kuwa wanachama ndio wanaochagua viongozi, na wanaweza kumchagua kichaa yeyote. Kwa hiyo ufadhili hauwezi ukaenda beyond kipindi cha utawala wa kiongozi anayeendana na mawazo ya mfadhili, hence uwekezaji. Ni vigumu kuchomoka. I wish hivi vilabu vyenye washabiki wengi vingekuwa vinamilikiwa na tajiri mmoja mmoja, nafasi ya wapenzi na washabiki inabaki kuingia uwanjani kushangilia lakini hakuna cha uchaguzi wa viongozi wala kadi za uanachama

Bado ni mapema kuwa judge Azam. Kama mfumo wao utafanikiwa ikafika mahali timu ikajiendesha bila hela ya tajiri, basi hata Yanga na Simba zitalazimika kufuata mfumo huo. TP Mazembe sioni kama inatofauti sana na timu zetu za Yanga na Simba. Nafuu yao ni kwamba tajiri ana commitment kubwa zaidi lakini siku akiondoka inakufa wakati huo huo. Ndio tofauti yake na Azam.
 
Mlioko uwanjani vp simba leo hawajakuja kushangilia standi
 
Back
Top Bottom