Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leteni matokeo watani ndio naingia.
Julio offside
Tambwe + Msuva = 27 goals
Bado nina imani Tambwe atakuwa mfungaji bora tena
ETI YANAONGOZA 4-0!!!!!pyuuuu!!!
Champions Timu ya taifa, hii ndio yanga
Ikimaanisha nn?
Bado nina imani Tambwe atakuwa mfungaji bora tena
ETI YANAONGOZA 4-0!!!!!pyuuuu!!!
ETI YANAONGOZA 4-0!!!!!pyuuuu!!!
Khaa yaani nifah sisi tunaendeleza story za waarabu kumbe eti msuva katupia la tatu, ni kweli aiseee???
Na tulipata shida mtaani hatukuongeaMlipowapiga Mgambo 4-0 mkajiona wa maana, leo hii hii tumewajibu!