Tuungane pamoja kupinga utani wa matusi hapa jukwaani. Jukwaa bila mashabiki wa Simba na Yanga kwenye mechi kama hii lazima lipooze.
Wengine hatuna starehe nyingine zaidi ya mechi za soka hivyo ni muhimu sana tutunze maadili na kanuni za JF, tuchangie kwa utani bila kuvunja heshima kwa member yeyote wala timu yake.
Msisahau tayari tuna mataji mawili mwaka huu
Mwenye msimamo wa VPL aniwekee hapa please, jumapili yangu ishaharibika. Nilikuwa na furaha zangu...
Tujitahidini hivyo hivyo, kuna wachache huenda wakabadilika.
Mkuu sembo nimefurahi sana kuona post yako. Hongereeni kwa ushindi wa kishindo.
Twiga Stars wametisha huko Zambia.
Mkuu Twiga wametisha sana.. Sasa wamebakisha dk 90 ili waweze kufuzu michuano ya wanawake Africa.. nawatakia kila la kheri.
Simba Sc tunachofanya sasa ni kulinda heshima tu.. Nimefurahi hawajatuangusha.
Akina dada wamenifurahisha sana.
Nawaomba Simba mtupigie Azam FC mkikutana naye, sisi tutampiga hilo halina mjadala maana kutokumfunga ni hasara kwetu.
Mkikomaa na Azam akapoteza mechi mbili huenda mkapata nafasi ya pili.
Dewji na Bakhresa. Waarab wapemba wanajuana kwa vilemba. Usijeshangaa majirani zetu wakawa ngazi ili watukomoe.
Dewji na Bakhresa. Waarab wapemba wanajuana kwa vilemba. Usijeshangaa majirani zetu wakawa ngazi ili watukomoe.
umemsahau Manji
Akina dada wamenifurahisha sana.
Nawaomba Simba mtupigie Azam FC mkikutana naye, sisi tutampiga hilo halina mjadala maana kutokumfunga ni hasara kwetu.
Mkikomaa na Azam akapoteza mechi mbili huenda mkapata nafasi ya pili.
Simba tatu,full time...simba wamedhamilia haswa kuipata nafasi ya tatu,hongereni
Msimamo unabaki vile vile isipokuwa Azam sasa ana pointi 36, Simba Pointi 32. Subiri TFF wa-update, baadaye tembelea www.tff.or.tz utapata msimamo kamili.
Pole sana kwa kuchafuliwa furaha yao. Zingatia kuwa Simba hana madhara yoyote kwa Yanga. Mpinzani wa ukweli ni Azam FC, huyu ndiye anatunyima usingizi, siyo Simba SC.
Mkuu hivi simba wakipata nafasi ya tatu itawasaidia kimataifa au ni kuweka heshima tu??
Msimamo unabaki vile vile isipokuwa Azam sasa ana pointi 36, Simba Pointi 32. Subiri TFF wa-update, baadaye tembelea www.tff.or.tz utapata msimamo kamili.
Pole sana kwa kuchafuliwa furaha yao. Zingatia kuwa Simba hana madhara yoyote kwa Yanga. Mpinzani wa ukweli ni Azam FC, huyu ndiye anatunyima usingizi, siyo Simba SC.
Ina maana Yanga tutakutana na Simba huko tena? Hivi hakuna jinsi ya kuachana na mashindano hayo?Kimataifa hawashiriki, ila kitaifa watashiriki mashindano yao ya mtani jembe na mapinduzi.