VPL: Simba SC vs Ruvu shooting na Coastal Union vs Azam FC

Tuungane pamoja kupinga utani wa matusi hapa jukwaani. Jukwaa bila mashabiki wa Simba na Yanga kwenye mechi kama hii lazima lipooze.

Wengine hatuna starehe nyingine zaidi ya mechi za soka hivyo ni muhimu sana tutunze maadili na kanuni za JF, tuchangie kwa utani bila kuvunja heshima kwa member yeyote wala timu yake.

Tujitahidini hivyo hivyo, kuna wachache huenda wakabadilika.
 
Mwenye msimamo wa VPL aniwekee hapa please, jumapili yangu ishaharibika. Nilikuwa na furaha zangu...

Msimamo unabaki vile vile isipokuwa Azam sasa ana pointi 36, Simba Pointi 32. Subiri TFF wa-update, baadaye tembelea www.tff.or.tz utapata msimamo kamili.

Pole sana kwa kuchafuliwa furaha yao. Zingatia kuwa Simba hana madhara yoyote kwa Yanga. Mpinzani wa ukweli ni Azam FC, huyu ndiye anatunyima usingizi, siyo Simba SC.
 
Tujitahidini hivyo hivyo, kuna wachache huenda wakabadilika.

Ni kweli, hongereeni sana kwa ushindi.

Nasubiri vipindi vya michezo nisikie Masao Bwire ataibuka na dongo gani baada ya kichapo cha leo.
 
Mkuu sembo nimefurahi sana kuona post yako. Hongereeni kwa ushindi wa kishindo.

Twiga Stars wametisha huko Zambia.

Mkuu Twiga wametisha sana.. Sasa wamebakisha dk 90 ili waweze kufuzu michuano ya wanawake Africa.. nawatakia kila la kheri.

Simba Sc tunachofanya sasa ni kulinda heshima tu.. Nimefurahi hawajatuangusha.
 
Last edited by a moderator:

Akina dada wamenifurahisha sana.

Nawaomba Simba mtupigie Azam FC mkikutana naye, sisi tutampiga hilo halina mjadala maana kutokumfunga ni hasara kwetu.

Mkikomaa na Azam akapoteza mechi mbili huenda mkapata nafasi ya pili.
 
haaa!!! eti wanasema ndo wameanza ligi!!!??......
.
 
Akina dada wamenifurahisha sana.

Nawaomba Simba mtupigie Azam FC mkikutana naye, sisi tutampiga hilo halina mjadala maana kutokumfunga ni hasara kwetu.

Mkikomaa na Azam akapoteza mechi mbili huenda mkapata nafasi ya pili.

Dewji na Bakhresa. Waarab wapemba wanajuana kwa vilemba. Usijeshangaa majirani zetu wakawa ngazi ili watukomoe.
 
Akina dada wamenifurahisha sana.

Nawaomba Simba mtupigie Azam FC mkikutana naye, sisi tutampiga hilo halina mjadala maana kutokumfunga ni hasara kwetu.

Mkikomaa na Azam akapoteza mechi mbili huenda mkapata nafasi ya pili.

Itategemea matokeo yenu na wao, ikitokea mmewafunga hata sisi tukiwafunga itakuwa na maana lakini wakiwafunga nyie kwetu sisi hata tukiwafunga itakuwa haina maana sana.
 
Simba tatu,full time...simba wamedhamilia haswa kuipata nafasi ya tatu,hongereni

Mkuu hivi simba wakipata nafasi ya tatu itawasaidia kimataifa au ni kuweka heshima tu??
 
Msimamo unabaki vile vile isipokuwa Azam sasa ana pointi 36, Simba Pointi 32. Subiri TFF wa-update, baadaye tembelea www.tff.or.tz utapata msimamo kamili.

Pole sana kwa kuchafuliwa furaha yao. Zingatia kuwa Simba hana madhara yoyote kwa Yanga. Mpinzani wa ukweli ni Azam FC, huyu ndiye anatunyima usingizi, siyo Simba SC.

Ahsante Mkuu Makoye Matale, angalau sasa. Kwahiyo sisi tukimbizane na Azam, tumuombee apoteze mechi zote.
Huu ubingwa uwe wetu, na mwaka huu tuukose dah...
 
Last edited by a moderator:
Msimamo unabaki vile vile isipokuwa Azam sasa ana pointi 36, Simba Pointi 32. Subiri TFF wa-update, baadaye tembelea www.tff.or.tz utapata msimamo kamili.

Pole sana kwa kuchafuliwa furaha yao. Zingatia kuwa Simba hana madhara yoyote kwa Yanga. Mpinzani wa ukweli ni Azam FC, huyu ndiye anatunyima usingizi, siyo Simba SC.

Ila anayefanya mzimie mkikutana ni ......
 
Back
Top Bottom