Tuungane pamoja kupinga utani wa matusi hapa jukwaani. Jukwaa bila mashabiki wa Simba na Yanga kwenye mechi kama hii lazima lipooze.
Wengine hatuna starehe nyingine zaidi ya mechi za soka hivyo ni muhimu sana tutunze maadili na kanuni za JF, tuchangie kwa utani bila kuvunja heshima kwa member yeyote wala timu yake.
Tujitahidini hivyo hivyo, kuna wachache huenda wakabadilika.