VPL: Simba v Prisons 28-02-2015

Pamoja na yote hayo, bado hatutakiwi kuomba kufungwa hizo zitakuwa ni hasira.

Mkuu,.....Ninaomba tufungwe ii haya matatizo yapatiwe ufumbuzi

Tukishinda viongozi wataendelea kupiga siasa

Thats my Point

Naipenda sana simba...inapofungwa hata kumshughulikia shemeji yako siwezi....Ila inabidi haya matatizo yapatiwe ufumbuzi.....
 
Good idea though fans might not understand this
 
Last edited by a moderator:
Akh kama simba wenyewe wanaombea wafungwe bas mi naombea mshinde ka mambo yenyewe ndo hayo
 
Kama wewe ni shabiki wa kweli wa simba huwezi kuiombea mabaya timu yako.Mimi naomba mashabiki wote wa simba tupite na timu yetu katika kipindi hiki kigumu ipo siku mambo yatakaa vizuri na tutaenjoy ameen.
 
Meeeeennnnnn......hujui the way ninavyoipenda simba......

Tupite na timu katika kipindi kigumu kilichosababishwa na nini?

Unajua ndugu zangu huu ni mwaka wa nne timu inafanya vibaya....

Kufanya vibaya kwa sababu ya mapambano ya Matawi Mawili,Mpira Pesa (Friends of Simba) na Mpira Mendeleo (UKAWA)....When is it going to end?

Katika miaka hiyo minne bado unasema ytutapita tu katika kipindi kigumu....Man U wamepitia msimu mmoja mgumu waka rekebisha makosa kwa kuchukua maamuzi magumu...

Yanga huwa hawavumilii upuuzi kama huu...Wangeshapawasha siku nyingi

Simba tunategemea nini kipya?

Wachezaji wanapelekwa kahama kilomita 100 kulala huko na kucheza ndondo ili kupata hela ya chakula,malazi na mafuta ya gari...alafu uanataka washinde

Baadhi ya wachezaji hawajalipwa mshahara miezi miwili alafu unataka washindeje?

Thats not fair hata kwa wachezaji...

Inabidi tufungwe ili akili ziwe sawa
 
Kama wewe ni shabiki wa kweli wa simba huwezi kuiombea mabaya timu yako.Mimi naomba mashabiki wote wa simba tupite na timu yetu katika kipindi hiki kigumu ipo siku mambo yatakaa vizuri na tutaenjoy ameen.

Mkuu huyo Shyland atakuwa anatoka tawi la mpira pesa aka wazee wa kukodi basi na kuifata timu kila inapoenda ili waihujumu! Tehe Tehe. YANGA oyeeeee!
 
Mkuu huyo Shyland atakuwa anatoka tawi la mpira pesa aka wazee wa kukodi basi na kuifata timu kila inapoenda ili waihujumu! Tehe Tehe. YANGA oyeeeee!

Huyo sio shyland ni freeland
 
Simba akipigwa leo nitajiakia vizuri sana kama nimepata jimama na kitimoto na kushushia tuaker barsiiii
 
Mmmmmmmm...na wewe kwa kushadadia hujambo Komeo La Chuma kuja huku kuna mchumba hapa

Wewe na huyo komeo lako ndio wachumba, hamjijui tu. Na nitashadadia mpaka mshike adabu zenu. Ili mradi nina furaha zangu na Yanga yangu aah na bado.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha ha,
kwa jirani wakigombana wewe chukua jembe ukalime wakipatana ulishaivisha chakula kitambo,

kila laheri wajelajela.
 
Naona wajelajela wanapaki behewa la treni.
 
Mkeka sichani ng'o..!
Nimeweka SARE.
 
Ibrahim Hajib anatunyanyua wadau wa Msimbazi. Dak 16; Simba 1-0 Prison.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…