Kama wewe ni shabiki wa kweli wa simba huwezi kuiombea mabaya timu yako.Mimi naomba mashabiki wote wa simba tupite na timu yetu katika kipindi hiki kigumu ipo siku mambo yatakaa vizuri na tutaenjoy ameen.
Meeeeennnnnn......hujui the way ninavyoipenda simba......
Tupite na timu katika kipindi kigumu kilichosababishwa na nini?
Unajua ndugu zangu huu ni mwaka wa nne timu inafanya vibaya....
Kufanya vibaya kwa sababu ya mapambano ya Matawi Mawili,Mpira Pesa (Friends of Simba) na Mpira Mendeleo (UKAWA)....When is it going to end?
Katika miaka hiyo minne bado unasema ytutapita tu katika kipindi kigumu....Man U wamepitia msimu mmoja mgumu waka rekebisha makosa kwa kuchukua maamuzi magumu...
Yanga huwa hawavumilii upuuzi kama huu...Wangeshapawasha siku nyingi
Simba tunategemea nini kipya?
Wachezaji wanapelekwa kahama kilomita 100 kulala huko na kucheza ndondo ili kupata hela ya chakula,malazi na mafuta ya gari...alafu uanataka washinde
Baadhi ya wachezaji hawajalipwa mshahara miezi miwili alafu unataka washindeje?
Thats not fair hata kwa wachezaji...
Inabidi tufungwe ili akili ziwe sawa