Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Hiyo ni baada ya kununua mechi ili kikao chenu kiende safi.!!!
Kipofu kaona mwezi ko full shangwe.
Pamoja na kuona mwezi, Yanga haiko mbali kivile, ni mechi tatu tuu, na bado hamja kutana nasi, kama mjuavyo, hata tukiwa wabovu kama BDF II, dozi iko pale pale!
Mkuu, inaonekana unanifananisha na mikia. Narudia tena, Simba ni homa ya vipindi, sisi Yanga tukikutana na Simba, Simba lazima akae tu.
El merrekh 1 vs 0 Azam.
Simba hata iwe Simba B haiwezi fungwa na Yanga, mnachoweza jivunia ni droo. Hili unalijua vizuri sana na wenzako, ebu acha kuzuga.
Tusiandikie mate na wino upo!
Tusiandikie mate na wino upo!
i misidi yu @Bantu lady habar za siku mai dia?
i misidi yu @Bantu lady habar za siku mai dia?
Umemkumbuka my sweet wako, muulize bao 5 za leo zimemkumbusha nini?
Acha kunifatafata halafu muache MEANDU wangu, nikuone tena unamsumbua utanitambua wewe Komeo Lachuma