VPL: Simba v Prisons 28-02-2015

VPL: Simba v Prisons 28-02-2015

Hiyo ni baada ya kununua mechi ili kikao chenu kiende safi.!!!

Mkuu, inaonekana unanifananisha na mikia. Narudia tena, Simba ni homa ya vipindi, sisi Yanga tukikutana na Simba, Simba lazima akae tu.
 
Mkuu, inaonekana unanifananisha na mikia. Narudia tena, Simba ni homa ya vipindi, sisi Yanga tukikutana na Simba, Simba lazima akae tu.

Simba hata iwe Simba B haiwezi fungwa na Yanga, mnachoweza jivunia ni droo. Hili unalijua vizuri sana na wenzako, ebu acha kuzuga.
 
Al Merrikh 1 vs 0 Azam [ HALF TIME ] ¦
 
Stand Utd 1 Kagera Sugar 0 dk 80, kesho asubuhi dk 10 zilizobaki zinamaliziwa
 
Acha kunifatafata halafu muache MEANDU wangu, nikuone tena unamsumbua utanitambua wewe Komeo Lachuma

meandu usikubali kutumika ndugu yangu huyu bantu lady nmetoka naye mbaye na tunafahamiana vizuri tu. so wala sina shaka kukuita wewe wake au yeye kusema hayo maneno aliyoyasema ndo ninachompendea ki ukweli anapenda kama kunitia wivu nami ndo mzuka unapanda sana yaani anakuwa kama anazima moto kwa kumwagia petrol. leo nimesikia hbr za taifa. najua hazikuwa nzuri kwa bantu lady hasa tunaposogea siku ya jumamosi. ila asihofu simba mke wake yanga wa siku zote. na kama mimi simba mke wangu ni bantu lady siku zote. ataruka ruka weeeee. ila hapa ndo atakuja kutua.
 
Mkuu, inaonekana unanifananisha na mikia. Narudia tena, Simba ni homa ya vipindi, sisi Yanga tukikutana na Simba, Simba lazima akae tu.

Tulipowapiga 3-1, 2-0 na zile draw za 1-1, 3-3 mlisema hivyo hivyo mbona tumewazoea. Tukishuka tunajipigia tu, Simba hata tupange kikosi C yanga hamtufungi sana sana mmeshinda sare. Bao 5 zimekukumbusha nini?
Simba hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesese.......
 
Komeo Lachuma please tuheshimiane wewe, hivi unafikiri sifa? Yaani nakuchukia wewe na hayo mambo yako, wewe utakuwa mnywa gongo tu.
Mtu gani usiyeelewa wewe? hapa niko kwaajili ya mpira, sitaki upuuzi wako. Tuheshimiane iwe mwanzo na mwisho.
Mods wa hili jukwaa huyu mtu sitaki anitaje, ananidhalilisha tu.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na kuona mwezi, Yanga haiko mbali kivile, ni mechi tatu tuu, na bado hamja kutana nasi, kama mjuavyo, hata tukiwa wabovu kama BDF II, dozi iko pale pale!

Hilo halina haja ya kutumia tochi mkuu, na wenyewe moyoni wanajua ila usoni na mdomoni wanakanusha.
 
Back
Top Bottom