VPL: Tar. 22\04\2015: Simba vs Mgambo JKT

Michezo ni undugu, urafiki na afya bora.
 
Last edited by a moderator:
Hii ndiyo SSc ninayoijua. Wasingefanya mazoezi/wasingejiandaa kwa mechi kama Coastal wangekula bao 16-0
 
Simba bado hawajafunga la nane jamani au mechi imekeisha?
 
Wenzako Mkuu wako wapi, au wamejikatika tamaa? Yuko wapi Katavi, Masuke, Ngarna, sembo, grafani11 na wengine wachache.

Nipo sana ila tu ujenzi wa taifa ndo unanifany napotea potea si unajua hili Taifa unajenga leo kesho ukiamka unakuta baadhi ya sehemu limebomoka hivyo ujenzi wa hili Taifa haushi.

Mwaka huu kweli chama letu limepoteza mwelekeo, inabidi tutafute namna ya kubadilisha namna ya kucheza hii ligi, iwe inachezwa kwa mtoano.
 
naona kaushindi ka mikia kamekufufua kutoka katika 'wafu'

Unadhani mimi wa kufa kama nyinyi?
Au unadhani tunaishi mijini kwa kupiga kelele za kujisifia kupanda ndege karne ya 21 wakati bei ya kupanda ndege na kupanda basi havitofautiani sana. Hata Gwajima mmoja anawashinda kanunua ndege yake wakati wapumbavu wanajisifia kupanda ndege.
 

Huo uasherati uliosema ni kweli ninakufanyia sasa mwaka wa 3 lakini hakuna zao lolote, bora nigeukie kwa Mgambo labda atanizalia.
 
Last edited by a moderator:
Huyu Okwi huyu... ndo maana Yanga wanamchukia sana. Okwi mmoja ni sawa na washambuliaji 3 wa Yanga. the man anacheza kwa kujituma sana yaan ni kama one army man.

ni kweli kabisa okwi ameisaidia simba isishuke daraja na anaongoza kwa magoli tofauti na fowadi za yanga akina msuva, Tambwe, na ngasa ambao timu yao ya yanga haina mwenendo mzuri.
 
Leo BBA kaonekana bado Ngarna, sijui bado yuko 'pulgatory'.

MKUU huwa naingia ila nashindwa kucomment sababu ya wachezaji wetu( Watanzania) kucheza kama wamelazimishwa na Vila determination yoyote wakati ajira ya ni muda mfupi . Hana vision wala mission
 
Last edited by a moderator:

nasikia sasa mmeanza mipango ya kuifunga yanga mwakani...endeleeni hivyo hivyo, wakati wenzenu tunaendelea kupokezana ubingwa.
 
hapa leo sijamsikia mwanasimba yeyote akisema .."SIMBA NI VIJANA WADOGO TUWAPE MUDA"nadhani wamekua..ila mechi ijayo kauli hii itaibuka tena.
 
Nikumbusheni: Hivi Mnyama akishinda mechi zake zote zilizosalia na Yebo Yebo akafungwa zote zilizosalia, nani atakuwa na points nyingi overall?
Kamuulize Aveva na Sunday Manara wao wanajua jibu la swali lako.
 

Hatukubali ligi ya mtoano, mikia mtatwaa ubingwa kila mwaka. Tunajua kwenye mtoano mko vizuri sana kuliko kupiga ligi yenye mechi nyingi kwa kuhesabu pointi, wachezaji wenu hawana 'Long time endurance'.
 
MKUU huwa naingia ila nashindwa kucomment sababu ya wachezaji wetu( Watanzania) kucheza kama wamelazimishwa na Vila determination yoyote wakati ajira ya ni muda mfupi . Hana vision wala mission

Pole sana Mkuu.
 

Hongera sana kwa ujenzi wa Taifa Mkuu.
 

Wewe siyo mwanamichezo.

CC. bujashi25: Achana naye.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mkuu.

Tupeane pole sote. Kimataifa tuko sana kisoka chukua mfano Siku Yanga anacheza BDF nliona wachezaji wawili tu Bartez na Niyonzima nilioona wanaweza kucheza hata Uarabuni . Msuva ambaye hapa ndo top scorervwa league yetu mechi hizi mbili za Kimya Taifa sijaona kitu chochote toka kwake. What do you expect, nani atamchukua MTU ambaye hashine internationally?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…