hata wakitufunga mia hao sahel. Sisi tuna la ligi kuu bara nyie mna lipi?
Maandalizi ya tafrija yanaenda wakuu, mikia wote mnakaribishwa.
Mkuu ya kweli hayo? Yanga chama langu daima mileleYanga 4 1 polisi moro.
mapinduzi...
Mkuu ya kweli hayo? Yanga chama langu daima milele
Yanga 4-1 Polisi.
Bantu lady huu ni uchochezi
Hongereni yanga kwa ubingwa bila kusahau mamluki wa picha likiisha ndio hushabikia waliohamia kwa mkopo yanga...
tuonane gemu ya etu edu sahel...
Sasa ukitaka game iwe nzuri Polisi wapigwe la 5...!Ya kweli mkuu kwani
ni TAMBWE-3
MSUVA-1
na wote wamepumzishwa.