VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

Polisi ni rafiki halisi wa Yanga. Watashangilia wote pamoja. Yanga bingwa tena mwakani 100 %. Anaingia na mtaji wa points 30 kutoka matawini. Point sita kwa kila timu zifuatazo, Toto Afrika, African Sports, Mbeya City na Mgambo JKT, JKT Ruvu.
 
Hongereni yanga kwa ubingwa bila kusahau mamluki wa picha likiisha ndio hushabikia waliohamia kwa mkopo yanga...

tuonane gemu ya etu edu sahel...
 
Hongereni yanga kwa ubingwa bila kusahau mamluki wa picha likiisha ndio hushabikia waliohamia kwa mkopo yanga...

tuonane gemu ya etu edu sahel...

Mkuu vipi nafasi ya pili mkuu mnakomaa nayo au mnamwachia binamu yenu?
 
Yanga bingwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaacaaaaaaaaaaaaaaaa

Mikia mupoooooooooooo
 
Back
Top Bottom