VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

Mikia karibuni msijesema hatukuwaalika. Mnakaribishwa sana, nanyi mje na kombe lenu la hisani la Mapinduzi. Acheni kuchungulia...
 
azam jiandaen na kombe la shirikisho msiwe na wasiwas upande huo mwingne nawasalimia hamjambo!
 
Mtoto yake nepi!!
Half time, yanga 1-0 polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…