VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

huyu naye!! eti nimesikia yanga wanamuhitaji tena, wanini huyu jamaa??? mi naona hana kiwango cha Tambwe na Sherman, yanga waachane naye tu

cc Makoye Matale, mkolaj
Kuna kifaa toka Platnum kinaitwa Donald Mango, kimeshakubali kusaini mkataba, sijui tutamwondoa nani pale, ila huyo kavumbagu aende zake mikia fc au abaki na hao lambalamba
 
huyu naye!! eti nimesikia yanga wanamuhitaji tena, wanini huyu jamaa??? mi naona hana kiwango cha Tambwe na Sherman, yanga waachane naye tu

cc Makoye Matale, mkolaj
Tupo mbioni kumsaini Donald Ngoma kiungo mshambuliaji wa fc platinum ya zimbabwe huyo kavumbagu wa nini!!
Ana option mbili za kufanya aidha kubaki huko huko lambalamba fc au atimukie mchangani fc.
 
Last edited by a moderator:
Tupo mbioni kumsaini Donald Ngoma kiungo mshambuliaji wa fc platinum ya zimbabwe huyo kavumbagu wa nini!!
Ana option mbili za kufanya aidha kubaki huko huko lambalamba fc au atimukie mchangani fc.

tukimchukua donald ngoma nani tutamwacha mkuu ?
 
Kama ingelikuwa mechi smb vs yanga ndo mechi ya ubingwa yanga wange kata rufaa
 
Back
Top Bottom