mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,089
Vijana msiwe na shaka tafrija hapa jukwaan lazima lifanyike na mikia wote wataarikwa ili wajue kuwa sisi ni timu bora tanzania,....Ha ha ha.Haya bwana na tusubiri na sisi itabidi tufanye kitafrija kidogo hapa hapa jukwaani.
Mngesubiri kwanza tushangilie wote ushindi uwanjani halafu tukitoka hapo turudi tena jukwaan kupanga mipango ya kufanya tafrija.