VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

Ha ha ha.Haya bwana na tusubiri na sisi itabidi tufanye kitafrija kidogo hapa hapa jukwaani.
Vijana msiwe na shaka tafrija hapa jukwaan lazima lifanyike na mikia wote wataarikwa ili wajue kuwa sisi ni timu bora tanzania,....
Mngesubiri kwanza tushangilie wote ushindi uwanjani halafu tukitoka hapo turudi tena jukwaan kupanga mipango ya kufanya tafrija.
 
Basi mkuu wewe utaandaa hiyo tafrija mie nitakuwa msaidizi wako au unasemaje ?

Jibu hili hapa
↓↓↓↓

Vijana msiwe na shaka tafrija hapa jukwaan lazima lifanyike na mikia wote wataarikwa ili wajue kuwa sisi ni timu bora tanzania,....
Mngesubiri kwanza tushangilie wote ushindi uwanjani halafu tukitoka hapo turudi tena jukwaan kupanga mipango ya kufanya tafrija.
 
Kila la kheri Yanga, leo hii tunataka kusheherekea ubigwa. Polisi kubalini tu matokeo ya kushuka daraja, mjiandae kisaikolojia.

#teamyanga #
 
Poa poa mkuu, mie nasubiri kwa hamu hiyo tafrija michango napokea mimi kama unataka kutuma mchango ni PM ili nikupe namba ya kutumia

Ha ha ha,acha hizo wewe.Utapeli mwisho msimbazi Jangwani hakuna hayo mambo.
Tafrija inafanyika hapa hapa jukwaani.
 
Ha ha ha,acha hizo wewe.Utapeli mwisho msimbazi Jangwani hakuna hayo mambo.
Tafrija inafanyika hapa hapa jukwaani.
Mie sio Etoile du Sahel waliodhulumu mikia fc, huo mchango nitawakilisha kwa mods hapa Invisible ili kuipa uhai zaidi jamiiforum. nifah uwe wa kwanza kutoa mchango
 
Kila la heri wana Yanga wenzangu...

Daima mbele, nyuma mwiko....

Yanga a.k.a Kuala Lumpur Malaysia.
 
Nikiwa Nimenyong'onyea Kwani Sina Jinsi Napenda Mchezo Wa Soka ILA Wasiojua Mpira Leo Wanatawazwa Japo Maji Hakuna Kuwa Mabingwa Wapya Wa Ligi Kuu Ya Tanzania VPL. Wanasimba Tutabaki Kuumia Shingo Tu Tukiona Wenzetu Kila Mwaka Wakipaa Angani Na Ndege.........Inauma Mno Lakini Ndiyo Hivyo Tena. Lakini PIA NAOMBA NITOE OMBI LANGU LA DHATI KWA Wana Yanga Wote Ndani Na Nje Ya Nchi Kuwa Hebu TUNAOMBA MTUSAIDIE MUWEZE KUWAFUNGA Azam FC Ktk Mtanange Wenu Wa Wiki Ijayo Mkishatoka KUPIGWA ( Kufungwa ) Magoli 11 - 0 Na Etoile Sportive Du Sahel Jumapili Ijayo. Kama MKITUFANYIA Wena Huo Basi Sisi Wana Simba Wote Tutarudisha Ule Udugu Wetu Na Nyie. Naipenda Sana Yanga ILA Nawapenda Kuliko Maelezo Etoile Sportive Du Sahel.

Hongereni Wana Yanga Kwa Kuwa MABINGWA Leo Jioni Na Tukutane Taifa!!!!!!!!

kwa kuwa hamtuheshimu kama wakubwa wenu, basi mtaendelea kuwa nafasi ya 3 kila msimu. leo tukibeba ubingwa azam atatufunga hizo 11-0 ulizotaja.
 
Dakika chache zimebakia ili kuku wa shehere ya kuwa bingwa mara 25 atazamishwe kibra,
R.i.p polisi morogoro, sisi tuliwapenda sana lakin ligi daraja la kwanza limewapenda zaidi.
 
Jibu hili hapa
↓↓↓↓
nifah ule ubuyu wetu pendwa kule kwa MMU wa lara 1 mbona siuoni aisee?? nimechelewa kuingia humu sasa kila nikifekenyua wapi sioni kitu!! aliweka ile episodi ya mchaga?? nina ugwadu nayo
 
Last edited by a moderator:
Kavumbagu:'' simon msuva anafunga magoli ya offside marefa wanamuchia ili awe mfungaji bora lakini hana uwezo kama mimi''
 
Nimecheka sana humu ndani baada ya ndugu mmoja kusema SIMBA ni MABORESHO ya YANGA FC.
👏👏😁😁😁😁😁😁😁😁👅
 
Kavumbagu:'' simon msuva anafunga magoli ya offside marefa wanamuchia ili awe mfungaji bora lakini hana uwezo kama mimi''
Dogo ana wivu huyu, halafu mgeni anapata wapi ujasiri wa kuwakejeli wazawa ?, ANGEKUWA SOMALIA KESHAPIGWA RISASI
 
Kavumbagu:'' simon msuva anafunga magoli ya offside marefa wanamuchia ili awe mfungaji bora lakini hana uwezo kama mimi''

huyu naye!! eti nimesikia yanga wanamuhitaji tena, wanini huyu jamaa??? mi naona hana kiwango cha Tambwe na Sherman, yanga waachane naye tu

cc Makoye Matale, mkolaj
 
Last edited by a moderator:
Kavumbagu:'' simon msuva anafunga magoli ya offside marefa wanamuchia ili awe mfungaji bora lakini hana uwezo kama mimi''
Nimemfuatilia kama mechi tano za hiv karibuni ila sijamuona hata akifunga goli la offside likakataliwa na refa.
Amefulia arudi kwao Burundi.
 
Back
Top Bottom