mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,089
Telela ndani ya nyumba
Telela hatakuwepo leo taifa pamoja na beki kisiki Nadir Haroub Cannavaro kutokana na majeruhi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Telela ndani ya nyumba
Nikiwa Nimenyong'onyea Kwani Sina Jinsi Napenda Mchezo Wa Soka ILA Wasiojua Mpira Leo Wanatawazwa Japo Maji Hakuna Kuwa Mabingwa Wapya Wa Ligi Kuu Ya Tanzania VPL. Wanasimba Tutabaki Kuumia Shingo Tu Tukiona Wenzetu Kila Mwaka Wakipaa Angani Na Ndege.........Inauma Mno Lakini Ndiyo Hivyo Tena. Lakini PIA NAOMBA NITOE OMBI LANGU LA DHATI KWA Wana Yanga Wote Ndani Na Nje Ya Nchi Kuwa Hebu TUNAOMBA MTUSAIDIE MUWEZE KUWAFUNGA Azam FC Ktk Mtanange Wenu Wa Wiki Ijayo Mkishatoka KUPIGWA ( Kufungwa ) Magoli 11 - 0 Na Etoile Sportive Du Sahel Jumapili Ijayo. Kama MKITUFANYIA Wena Huo Basi Sisi Wana Simba Wote Tutarudisha Ule Udugu Wetu Na Nyie. Naipenda Sana Yanga ILA Nawapenda Kuliko Maelezo Etoile Sportive Du Sahel.
Hongereni Wana Yanga Kwa Kuwa MABINGWA Leo Jioni Na Tukutane Taifa!!!!!!!!
Umekosea mkuu Yanga 6 - 0 Polisi moroYanga 3 vs 0 Police moro.
Kweli sasa wazee wa mchangani mmechanganyiwa!Yanga hawastahili kuwa mabingwa wa Tanzania kwakweli mwaka huu timu zote mbovu hakuna timu yenye hadhi ya kuwa bingwa
Yanga hawastahili kuwa mabingwa wa Tanzania kwakweli mwaka huu timu zote mbovu hakuna timu yenye hadhi ya kuwa bingwa
Leo ni leo.Nitashangiliaje? Mungu nipe uzima mie na mashabiki wenzangu wa Yanga tuweze kushuhudia club yetu ikichukua ubingwa wa ligi kuu 2014/2015.
AAAAMMMIIIINNNN!
Leo ni leo.Nitashangiliaje? Mungu nipe uzima mie na mashabiki wenzangu wa Yanga tuweze kushuhudia club yetu ikichukua ubingwa wa ligi kuu 2014/2015.
AAAAMMMIIIINNNN!
Wewe nani bwana unaeona kuwa yanga haistahili kuwa bingwa wa tanzania bara wakat hujai hata kwenye mfuko wa shati!!!!!Yanga hawastahili kuwa mabingwa wa Tanzania kwakweli mwaka huu timu zote mbovu hakuna timu yenye hadhi ya kuwa bingwa
Limebaki saa 1 Yanga kutangaza ubingwa wa bara. Hiki kimvua kinanyesha muda huu wilaya ya kinondoni ni baraka za wazee wa huku kusindikiza ubingwa wa Yanga.Leo ni leo.Nitashangiliaje? Mungu nipe uzima mie na mashabiki wenzangu wa Yanga tuweze kushuhudia club yetu ikichukua ubingwa wa ligi kuu 2014/2015.
AAAAMMMIIIINNNN!
Manji akijiongezea muda wa uongozi,wanachama wengi walipinga,yeye aliwaahidi ubingwa kwa namna yeyote,mechi nyingi walizoshinda Manji alinunua Ili tu kuwafanya wanachama/washabiki wafurahi..mpira wa nchi hii hauwezi kusonga mbele Kama Kuna watu wanapata matokeo nje wa uwanja...
Limebaki saa 1 Yanga kutangaza ubingwa wa bara. Hiki kimvua kinanyesha muda huu wilaya ya kinondoni ni baraka za wazee wa huku kusindikiza ubingwa wa Yanga.
Basi mkuu wewe utaandaa hiyo tafrija mie nitakuwa msaidizi wako au unasemaje ?Ha ha ha.Haya bwana na tusubiri na sisi itabidi tufanye kitafrija kidogo hapa hapa jukwaani.