VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

Nikiwa Nimenyong'onyea Kwani Sina Jinsi Napenda Mchezo Wa Soka ILA Wasiojua Mpira Leo Wanatawazwa Japo Maji Hakuna Kuwa Mabingwa Wapya Wa Ligi Kuu Ya Tanzania VPL. Wanasimba Tutabaki Kuumia Shingo Tu Tukiona Wenzetu Kila Mwaka Wakipaa Angani Na Ndege.........Inauma Mno Lakini Ndiyo Hivyo Tena. Lakini PIA NAOMBA NITOE OMBI LANGU LA DHATI KWA Wana Yanga Wote Ndani Na Nje Ya Nchi Kuwa Hebu TUNAOMBA MTUSAIDIE MUWEZE KUWAFUNGA Azam FC Ktk Mtanange Wenu Wa Wiki Ijayo Mkishatoka KUPIGWA ( Kufungwa ) Magoli 11 - 0 Na Etoile Sportive Du Sahel Jumapili Ijayo. Kama MKITUFANYIA Wena Huo Basi Sisi Wana Simba Wote Tutarudisha Ule Udugu Wetu Na Nyie. Naipenda Sana Yanga ILA Nawapenda Kuliko Maelezo Etoile Sportive Du Sahel.

Hongereni Wana Yanga Kwa Kuwa MABINGWA Leo Jioni Na Tukutane Taifa!!!!!!!!

Uwezo wa kuwafunga Azam tunao lakini bahati mbaya sana; endapo leo tutawafunga Polisi Morogoro, hatutakuwa tena na sababu wala nia ya kuwafunga Azam.
 
Yanga bigwa bado kagame nalo tuchukue wale wa mchangani kazi kwao
 
Yanga hawastahili kuwa mabingwa wa Tanzania kwakweli mwaka huu timu zote mbovu hakuna timu yenye hadhi ya kuwa bingwa
 
Yanga hawastahili kuwa mabingwa wa Tanzania kwakweli mwaka huu timu zote mbovu hakuna timu yenye hadhi ya kuwa bingwa
Kweli sasa wazee wa mchangani mmechanganyiwa!
Sasa pendekeza wewe basi tff wafanye nin ili kuipata timu inayostahili kuwa bingwa wa msimu huu wa 2014/2015.
 
Yanga hawastahili kuwa mabingwa wa Tanzania kwakweli mwaka huu timu zote mbovu hakuna timu yenye hadhi ya kuwa bingwa

Yanga ndiye bingwa wa Tanzania Bara 2014/2015, kama hutaki, hatuwezi kukulazimisha lakini fahamu hivyo.

Tanzania ni Muungano wa Tanganyika (Tanzania Bara) na Zanzibar. Kwa kuwa kila upande wa muungano una ligi yake, hatuwezi kuwa na bingwa wa Tanzania hivyo ni kweli Yanga hawezi kuwa bingwa wa Tanzania!
 
Leo ni leo.Nitashangiliaje? Mungu nipe uzima mie na mashabiki wenzangu wa Yanga tuweze kushuhudia club yetu ikichukua ubingwa wa ligi kuu 2014/2015.
AAAAMMMIIIINNNN!

25[SUP]th[/SUP] Silver Jubilee of Championship. We congratulate Young Africans SC for this achievement.
 
Attachments

  • Silver Jubilee.png
    Silver Jubilee.png
    175.6 KB · Views: 197
Leo ni leo.Nitashangiliaje? Mungu nipe uzima mie na mashabiki wenzangu wa Yanga tuweze kushuhudia club yetu ikichukua ubingwa wa ligi kuu 2014/2015.
AAAAMMMIIIINNNN!

Yanga mbele
nyuma ya Azam
MIKIA FC.
 
Yanga hawastahili kuwa mabingwa wa Tanzania kwakweli mwaka huu timu zote mbovu hakuna timu yenye hadhi ya kuwa bingwa
Wewe nani bwana unaeona kuwa yanga haistahili kuwa bingwa wa tanzania bara wakat hujai hata kwenye mfuko wa shati!!!!!
Hebu pisha njia tuselebuke wenyewe watoto wa jangwani.,....
Yanga daima itakuwa mbele nyuma itabaki mikia.
 
Leo ni leo.Nitashangiliaje? Mungu nipe uzima mie na mashabiki wenzangu wa Yanga tuweze kushuhudia club yetu ikichukua ubingwa wa ligi kuu 2014/2015.
AAAAMMMIIIINNNN!
Limebaki saa 1 Yanga kutangaza ubingwa wa bara. Hiki kimvua kinanyesha muda huu wilaya ya kinondoni ni baraka za wazee wa huku kusindikiza ubingwa wa Yanga.
 
Manji akijiongezea muda wa uongozi,wanachama wengi walipinga,yeye aliwaahidi ubingwa kwa namna yeyote,mechi nyingi walizoshinda Manji alinunua Ili tu kuwafanya wanachama/washabiki wafurahi..mpira wa nchi hii hauwezi kusonga mbele Kama Kuna watu wanapata matokeo nje wa uwanja...

Yanga hawezi kununua mechi kwa kuwa tayari anauhakika ubingwa ni wake, kuzuia timu ya wananchi isichukue ubingwa inabidi tufungwe mechi zote tatu zilizobakia. katika mechi 23 Yanga ana point 52 michezo mitatu mkononi, kwa upande wa Azam katika mechi 23 ana point 45 na michezo 3 mkononi hivyo akishinda mechi zote atafikisha point 54.

Ungesema Azam ndio ananunua mechi hapo kidogo ningekuelewa sababu ili kuzifikia na kuzipita pointi za yanga azam anahitaji kushinda mechi zote asipate sare wala droo na huku akitumia pesa kuisimamisha Yanga. Sometym tuweke mapenzi pembeni na Mtusifie pale wenzenu tunapofanya vizuri, Yanga ya Msimu huu ni bora sana kuliko kikosi chochote kile afrika mashariki na kati, rejea mechi za kimataifa ambazo tayari zimeshachezwa na michezo na rekodi ya kufunga kwa ligi yetu hapa nyumbani.

NAKUHAHAKISHIA YANGA HII INGEKUWA TAIFA STARS KWA REKODI YETU YA MSIMUU HUU TUNGEKUWA TATU BORA FIFA KWA VIWANGO:smile-big::smile-big:
 
Limebaki saa 1 Yanga kutangaza ubingwa wa bara. Hiki kimvua kinanyesha muda huu wilaya ya kinondoni ni baraka za wazee wa huku kusindikiza ubingwa wa Yanga.

Ha ha ha.Haya bwana na tusubiri na sisi itabidi tufanye kitafrija kidogo hapa hapa jukwaani.
 
nasema nyie polisi toeni ubingwa mapema kabla sijakasika.......
 
Attachments

  • PLUIJM%2BDOLE.JPG
    PLUIJM%2BDOLE.JPG
    31.1 KB · Views: 153
Back
Top Bottom