kitandilikunja
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 229
- 37
Dakika chache zimebakia ili kuku wa shehere ya kuwa bingwa mara 25 atazamishwe kibra,
R.i.p polisi morogoro, sisi tuliwapenda sana lakin ligi daraja la kwanza limewapenda zaidi.
Tunakula ubwabwa tunawasau.