libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Meck sadiq mkuu wa mkoa wa dar es salaam anakabidhiwa jez ya ubingwa na mashabiki wa yanga.
Hakika yanga ni timu ya wananchi.....
Mwigulu leo sijamwona jukwaa kuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meck sadiq mkuu wa mkoa wa dar es salaam anakabidhiwa jez ya ubingwa na mashabiki wa yanga.
Hakika yanga ni timu ya wananchi.....
khaa naona tiyari yanga wameishaanza sifa zao
ningekuwa jirani ningekupeleka ukapunge upepo baharini.
Yanga weweeeeeee
Yaani kabisa MEANDU, furaha ingezidije sasa. Thanks anyway...
naomba idadi ya magali ya msuva na tambwe separately...
naomba idadi ya magali ya msuva na tambwe separately...
Yanga 3-0 Polisi.
naomba idadi ya magali ya msuva na tambwe separately...
Karibu sana. Siku nyingine nitakutafuta.
Msuva goli 16
Tambwe goli 14
Msuva 16 tambwe 14.
Msuva 17 tambwe 13