VPL Yanga vs Prisons live update 16 September 2015

kikosi cha mnyama leo vs mgambo ni mauaji ya kimbali yanafanyika pale mkwakwani 1.manyika 2. kessy 3. shabalala 4.murshid 5. isihaka 6. majabvi 7. awadh juma 8. ndemla 9. mgosi 10. kazimoto 11. mwaliynzi
 
Nawatakia lile mnalostahili.
 
kikosi cha yanga 1. barthez 2. twite 3. mwinyi 4. yondan 5. canavaro 6. kamusona 7. msuva 8. niyonzima 9. tambwe 10. ngoma 11. kaseke
 
Nyie kandambili mko wapi mbona hatupati updates, hata za tanga mtupatie pia naona kimyaa..

CC. Makoye Matale & Co.
 
Simba wanaonekana kuwa na uchu sana wa mabao.

Dak. 10: Mgambo 0-0 Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…