Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Amka usingizini mkuu yanga hakuna kitu bila msaada wa refa
na tunataka refa atusaidie mpk tunabeba ndoo"mikia hoyeeee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amka usingizini mkuu yanga hakuna kitu bila msaada wa refa
brave one has become ignorant one!Amka usingizini mkuu yanga hakuna kitu bila msaada wa refa
Mkuu huna tofauti na dokta manyaunyau, kiiza leo ana hat trick
Mkuu makoye ule mziki wa pale msimbazi nawaonea huruma sana safari hii na timu yenu ya mwanaspoti na dimba
Hapati hata goli 1 la mkono, Mgambo lazima awatie njaa leo.Mkuu huna tofauti na dokta manyaunyau, kiiza leo ana hat trick
................
Ni haki yake boya wewe, kika mtu anahaki ya kufanya anachopenda au ulitaka afanye unavyopenda wewe.
kikosi cha mnyama leo vs mgambo ni mauaji ya kimbali yanafanyika pale mkwakwani 1.manyika 2. kessy 3. shabalala 4.murshid 5. isihaka 6. majabvi 7. awadh juma 8. ndemla 9. mgosi 10. kazimoto 11. mwaliynzi
Simba wanashambulia kama nyuki