Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Yanga 2-0 TZP, Tambwe Dak. 45.
Yanga 2-0 TZP, Tambwe Dak. 45.
Hamchoki tu kila siku kushinda agghhhhhrrr,
biashara ni asubuhi........kwa hilo Yanga ninawapongeza, hizi timu zisipo adabishwa mapema huko mbeleni inakuwa ni SHIDA.
Simba kazeni buti huko Tanga mrudi na pointi zote 6 au 9 ambazo ni muhimu sana kwetu sisi wadau.
walau 1 siyo mbaya
Hongera Mkuu.