VPL Yanga vs Prisons live update 16 September 2015

Jitahidini kushinda mechi za nyumbani. Huko mikoani uzalendo umeshamiri ..
 
Mkuu saa hizi angalau tim ina pumzi nadhani ugonjwa wa kuchomoa mwaka huu utapungua kama sio kuisha.

Ni kweli Mkuu, tusubiri dakika 90 tuone hali itakuwaje, so far so good mnaonekana kuimarika.
 
EEh Mungu baba wa mbinguni saidia kandambili waishie tu hizi goli mbili, ili tuwe tunawafukuza kwa karibu hawa wapenda sifa.
 
Jitahidini kushinda mechi za nyumbani. Huko mikoani uzalendo umeshamiri ..

Yanga kila siku iko nyumbani isipokuwa Morogoro na Bukoba pekee na mwaka huu Bukoba hatuendi tutaenda nyumbani Tabora.
 
Stand United 0-0 Azam
Toto Africans 0-2 Mtibwa Sugar
Mbeya City 1-0 JKT Ruvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…