Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Kama sikosei wewe ni mngoni wa pale Matalawe kama sio Mlilayoyo, huna tofauti na Nchimbi.
wa mfaranyaki hapa.
Kwani hujaona jengo la timu yenu lina bango la JOHN?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sikosei wewe ni mngoni wa pale Matalawe kama sio Mlilayoyo, huna tofauti na Nchimbi.
Kwani hujamuona captain wenu akiuza sura na bango la John?
Mkuu Makoye Matale yaani mm naboreka sana watu design ya akina Deo corleon ambao wao wanajua kila mahali ni pa siasa tu.Hiyo ni issue binafsi, siyo issue ya Yanga. Mbowe ni CHADEMA kwenye siasa na ni YANGA kwenye michezo. Epuka kufanya generalization kila mahali.
Kwa kuwa kuna jukwaa la siasa mambo hayo tuyapeleke huko, hapa Jukwaa la Michezo tubaki na michezo tu.
na wewe ni gt
Mkuu Makoye Matale yaani mm naboreka sana watu design ya akina Deo corleon ambao wao wanajua kila mahali ni pa siasa tu.
Yanga anabakwa leo!
wa mfaranyaki hapa.
Kwani hujaona jengo la timu yenu lina bango la JOHN?
................
Full Time.........Mambo yako CCM Kambarage huko Shinyanga!
I presume: Stand United 2-1 Azam.
CC. Deo Corleone (Aione ndani ya moyo wake).
Kwani hujamuona captain wenu akiuza sura na bango la John?
Full Time.........
Jkt Mgambo 3-1 Simba
Stand United 2-1 Azam
Yanga 4-0 Prisons
Ndanda 2-0 Coast
Haaaaa haaaaaa poleni sana wote mtakaoambulia kichapo leo.
na bet yanga kamla mtu 3-0 na sharubu kaliwa 4-0 tanga
Full Time.........
Jkt Mgambo 3-1 Simba
Stand United 2-1 Azam
Yanga 4-0 Prisons
Ndanda 2-0 Coast
Haaaaa haaaaaa poleni sana wote mtakaoambulia kichapo leo.