VPL Yanga vs Prisons live update 16 September 2015

VPL Yanga vs Prisons live update 16 September 2015

Kikosi cha Azam kitakachoanza leo dhidi ya Stand United chama la wana.........
Aishi Manula
Himidi Mao Mkami
Faridi Mussa
Agrey Moris
Pascal Wawa
David Mwantika
Frank Domayo
Jean Bapteste Mugireneza "Migi"
Salum Abubakar
Allan Wanga
John Bocco
.,...............................................
.................................................

Kila la kheir Chama la Wana Stand United piga hao lambalamba goli 2 tu zinatosha kabisa.
 
Kwani hujamuona captain wenu akiuza sura na bango la John?

Hiyo ni issue binafsi, siyo issue ya Yanga. Mbowe ni CHADEMA kwenye siasa na ni YANGA kwenye michezo. Epuka kufanya generalization kila mahali.

Kwa kuwa kuna jukwaa la siasa mambo hayo tuyapeleke huko, hapa Jukwaa la Michezo tubaki na michezo tu.
 
Mkuu Makoye Matale yaani mm naboreka sana watu design ya akina Deo corleon ambao wao wanajua kila mahali ni pa siasa tu.
 
Mkuu Makoye Matale yaani mm naboreka sana watu design ya akina Deo corleon ambao wao wanajua kila mahali ni pa siasa tu.

Huyu jamaa dawa yake ni kutomjibu maana anapojibiwa anafikiri kila mtu ana akili kama zake.
 
Jamani jamani.
Ebu hapa tuongeleeni mpira tuu,habari za siasa nendeni jukwaa husika.
Hapa Ni pahala salama kwa wanamichezo so msituharibie uzi.
 
Attachments

  • 1442402733941.jpg
    1442402733941.jpg
    18.7 KB · Views: 181
Mambo yako CCM Kambarage huko Shinyanga!

I presume: Stand United 2-1 Azam.
Full Time.........
Jkt Mgambo 3-1 Simba

Stand United 2-1 Azam

Yanga 4-0 Prisons

Ndanda 2-0 Coast

Haaaaa haaaaaa poleni sana wote mtakaoambulia kichapo leo.
 
Full Time.........
Jkt Mgambo 3-1 Simba

Stand United 2-1 Azam

Yanga 4-0 Prisons

Ndanda 2-0 Coast

Haaaaa haaaaaa poleni sana wote mtakaoambulia kichapo leo.

Mkuu huna tofauti na dokta manyaunyau, kiiza leo ana hat trick
 
Back
Top Bottom