VR inazidi Kuangaza juu ya Polepole inasemekana ni mwizi 2015 na pia mtekaji mkubwa

hujui hata kuandika vizuri nimeishia mstari wa pili baada VR? ALIEKIDHIR!!!???
 
Siku zote ulikuwa wapi kueleza wizi na uongo wake?
 
Unajua fika We ulikuwa miongoni mwa watu wanaotuma vijana na kuwadharay askari kwamba hawa wanatii maamui ya Chama Polepole una uhalali gani wa Kusema unapigania watu!

Unakumbuka Mpango wako mkiipeleka Meli Mv Victoria Kagera Mwaka jana wakati wa Kampeni ukiwa na akina Petro Magoti, acheni kuhadaa watanzania!

Polepole Huna kabisa Legitimacy ya kutudanganya

Wangapi umekuwa unakula pesa yao Kwa ahadi ya Kuwahamisha vituo vya kazi kutoka Mara? Na kuwaahidi Vyeo!?
Tunatakiwa Kuelewa kwamba Nchi ni yetu sote#haijapatakutokea. #kurayakwanzakwasamia. #haijapatakutokea. #kurayakwanzakwasamia. #haijapatakutokea. ..

 
MMEKUJA NA KASEMO KA KUSEMA APUUZWE HALAFU NYINYI HAMNA LA MAANA MNALOTUELEZA LITAKALOWEZA KUTUFANYA TUPUUZE

MNARUKARUKA TU KAMA POPCORN

TUNAMSUBIRI LEO SA 3 :45 AONGEE KUMJUBU WASIRA TUJAZE STREAMS AMBAZO HATA samia AKIONGEA HAPATI VIEWERS KAMA ZA BALOZI POLEPOLE
 
Mimi nadhani kwa sasa Polepole anaeleweka vizuri kuliko nyinyi
 
Eeee Mwenyezi Mungu.....
Nakuomba unijaalie Ridhki yangu ya halali .....niepushe na mabalaa
 
Wala haita wasaidia chochote, hayo ya hovyo yakutunga
 
Mkuu Kwa kuwa Wale aliofanya nao uovu Polepole na wao bado wako madarakani kwrnye nyazifa zao mbali mbali ebu wataje wote. Usimtaje Polepole pekee. Ili ueleweke vizuri
 
Mkuu umesoma ulichokiandika kweli? Yote kwa yote kazi yako ngumu sana [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…