VR inazidi Kuangaza juu ya Polepole inasemekana ni mwizi 2015 na pia mtekaji mkubwa


Sawa. Aliyeibs ni Nagufuli au Polepole.

Nyie maCCM jibuni hoja za Polepole. Huyu bwana hawezi kuwajibika zaidi ya Makamu na Waziri wa Fedha amvaye sasa ndiye makamu wa Rais.

Hayo maswali na shutuma watu wabkuzijibu kabla ya Polepole ni Samia, Majaliwa na Mpango. Polepole anawapa tu info.
 
Threads za Polepole zote ni za ID'S zilizofunguliwa August, hamjishtukii!??.., kila thread mnapigwa spana balaa mnaambulia likes za Muwashambwa, Tlaatlaa, choice variable, na wengine wasiozidi watano. Usikute mnaowatetea akina Jk na Rostam hata hawawajui kama mpo duniani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ndo umeandika nn wemkundu?.

Mwaka 2014 , ulikua bado unajikojolea Kenge wee.

Haya Yalofichuliwa yenyewe yako wapi??
 
Joined AUGUST 22...

mtatoka wote mafichoni mbwa nyie.
 
Naisubiria Jumatano kwa hamu kubwa! Mwamba ataunguruma toka Mafichoni, kitu anachokipanda huyu jamaa kwa watanzania wanyonge ni hatari sana!
 
Kibarua ulichopewa na wanamtandao ni kigumu sana. Hutaweza kututoa kwenye reli. Trust me, hakuna Mtanzania wa kawaida anayeweza kuhangaika na tuhuma za mambo ya 2014 akaacha kuhangaika na dhambi zinazoendelea kutendeka kila uchao. Wape hizi salaam!

β€œThere’s no future in the past”!
 
mmepewa kazi ngumu sana
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Kweli.

Mi sio shabiki wa hawa watu ila kama unawafahamu vizuri tuongee ukweli.

Kwenye ufisadi ni kazi ngumu sana kumchafua polepole na Dr. Bashiru.

Wahusishwe tu na mabaya ya serikali ya JPM katika harakati za kukamata dola 2020. Zaidi ya hili hakuna pengine utawakamata hawa wawili.

Kwa aliyoyaongea polepole wangekuwa na chembe ya ufisadi aliofanya wangemsambaratisha baada ya ile press ya kwanza, wala wasingesubiri afike mbali.
 
Reactions: Lax
Kwetu kule Meru wewe tunakushika na kuchapa mboko 70.
 
naam kile chama sio kisafi, ndo maana unaona polepole hajibiki 😁

mfano mtoa mada ndo kasema nini sasa --- maana hata wanayomsema polepole yanarudi palepale kwa ccm

😁 2025 imechangamka vizuri sana
 
Sasa umeandika Nini? Mbona unaonekana kama mpumbavu
 

Kuna UVCCM mtandao wametumwa kwenye social medias kumchafua Polepole, wanalipwa pesa za bando.
 
Ndugu petr15 kwanini unatumia ID FEKI?
Hii inamaana unaongea majungu.
Nakushauri ukishamaliza kuwaandalia watoto pakulala, na wewe kalale.
 
Dogo mshamba sana. Alipanda akafika juu akiwa bado akili hazijakaa sawa, alipotwaliwa JPM yeye na wenzake wakachanganyikiwa, kile kiburi chote kikapotezwa wakakumbushwa kwa vitendo juu ya umuhimu wa kujishusha maishani mwao.

Alishaongea mengi ya kijinga akashindwa kuinamisha kichwa kwa SSH na chokochoko zake asipoangalia zitamuumiza zaidi huko tuendako.
 
Polepole mnafiki tu, yeye ni sehemu ya uchafu wote wa awamu ya tano hastahili kimaadili kunyooshea kidole uchafu wa awamu ya sita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…