Vuguvugu la kurudisha kadi za CCM watatumbuliwa ma-DC wangapi?

Vuguvugu la kurudisha kadi za CCM watatumbuliwa ma-DC wangapi?

Kwa ufupi Mama hata sisi chawa wake huwa hatumuelewi ila kwa sababh ya uchawa lazima tumuunge mkono tu maana katiba inampa mamlaka ya kuua bila kushitakiwa etc[emoji3064][emoji848][emoji2827]
Sio uchawa tatizo mna njaa na ampende kujishughulisha ata kupika maandaz
 
CCM imechokwa tatizo hakuna chama mbadala
CCm inafurahi kuwa na ombwe la chama kinachoweza kuchukua nafasi yake ; ndio maana wamekomaa hawataki tuwe na katiba mpya ambayo pamoja na mambo mengine itaruhusu private candidates kufidia hilo ombwe!
 
Hawana lolote hao wanaorudisha, ni kupoteza muda tu Bora wangeendelea na kazi za Kila siku mkono uende kinywani. Sanduku la kura halijawahi fanya lolote Africa. Kura ni bosheni tu kuonyesha democracy ipo
 
Back
Top Bottom