Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wanaingia Kingi kwa kusimamia mikataba ya Kijinga kama ingekua na faida kwa Wananchi kwa nini wasingefanya kwa uwazi hiyo Bandari ingekua wanaweza kuuza Kimya kimya kama Twiga wangeuza tuu sasa Bandari ipo wazi ndio maana wameshindwa hao watu sio wazuri kabisa...