Vuguvugu la kurudisha kadi za CCM watatumbuliwa ma-DC wangapi?

Vuguvugu la kurudisha kadi za CCM watatumbuliwa ma-DC wangapi?

Hao ni mamluki wa chama cha Mbowe wamenunuliwa ili kukipa CHADEMA uhai kwa kiki ya kijinga. CHADEMA mnatumia kauli ya Mama Samia vibaya kwa maslahi yenu. Lushoto itawashangaza kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani.
 
FB_IMG_1693664550612.jpg
 
Wewe ndiye kipofu wa kisiasa usiyeona chama mbadala, wenye mawazo huru tunakiona
Mbadala ni wale waliomuzia chama lowasa 2015 kama ndo hao basi wewe ndo kipofu na huna mawazo huru
 
Political awareness na elimu ya uraia Kwa ujumla imeanza kuonesha kuanza japo bado ni kwa mbali sana!
 
Mimi naona hari ya hatari kuliko kutumbuliwa ma DC. Kuna hali ya muamko wa kisiasa na utashi binafsi wa wananchi kwenye kujitambua na kujua haki zao kuanzia wazee mpaka vijana hali ambayo inapasha joto nchi.kama hali ya maisha haitapatiwa jicho la tatu na utawala ukaendelea kushupaza shingo ni dhahiri 2025 nchi itapitia mabadiliko chanya.
 
“Bwana akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya.

— Mwanzo 11:6 (Biblia Takatifu)
 
samia watu hawakutaki.Achia kiti urudi Paje ukalee wajukuu.
Hata JPM JK mlisema hivi hivi watu hawakutak
Sema wewe mwenyewe na kikundi chako kdogo cha wahuni ndiyo humtaki wengi wangekuwa hawamtak wangemuondoa
 
Back
Top Bottom