Ndio habari zinazojiri huko Urusi. Kiongozi wa Wagner Group kikundi cha wapiganaji binafsi kilichokuwa kinaisaidia Urusi kwenye vita Ukraine amefarakana na waziri wa ulinzi wa Urusi.
Kumekuwa na hali ya hatari kote Urusi na watu kuamriwa kubaki majumbani.
Kiongozi wa Wagner Group anashutumiwa kwa uchochezi dhidi ya serikali na anatafutwa ili ajibu tuhuma dhidi ya kile kilichoitwa jaribio la mapinduzi. Yeye akanusha.
Putin kuongelea hilo muda mfupi ujao.