Vuguvugu la mapinduzi lanukia Urusi. Wagner group yafarakana na vikosi vya serikali. Askari watanda miji yote mikubwa. Putin kuongea muda mfupi

Vuguvugu la mapinduzi lanukia Urusi. Wagner group yafarakana na vikosi vya serikali. Askari watanda miji yote mikubwa. Putin kuongea muda mfupi

Ndio habari zinazojiri huko Urusi. Kiongozi wa Wagner Group kikundi cha wapiganaji binafsi kilichokuwa kinaisaidia Urusi kwenye vita Ukraine amefarakana na waziri wa ulinzi wa Urusi.

Kumekuwa na hali ya hatari kote Urusi na watu kuamriwa kubaki majumbani.

Kiongozi wa Wagner Group anashutumiwa kwa uchochezi dhidi ya serikali na anatafutwa ili ajibu tuhuma dhidi ya kile kilichoitwa jaribio la mapinduzi. Yeye akanusha.

Putin kuongelea hilo muda mfupi ujao.

Western propagandist television
 
Nilishasema Putin atauwawa au kupinduliwa na kunyongwa na watu wake never under estimate power of CIA and Europe intelligent
Ndio habari zinazojiri huko Urusi. Kiongozi wa Wagner Group kikundi cha wapiganaji binafsi kilichokuwa kinaisaidia Urusi kwenye vita Ukraine amefarakana na waziri wa ulinzi wa Urusi.

Kumekuwa na hali ya hatari kote Urusi na watu kuamriwa kubaki majumbani.

Kiongozi wa Wagner Group anashutumiwa kwa uchochezi dhidi ya serikali na anatafutwa ili ajibu tuhuma dhidi ya kile kilichoitwa jaribio la mapinduzi. Yeye akanusha.

Putin kuongelea hilo muda mfupi ujao.

Vita hii itamtesa sana Putin while mataifa rafiki wakimkimbia china anaona jinsi mchezo unachezwa na anaambiwa asijaribu kuigusa Taiwan maana kama ataigusa Taiwan basi ajuwe china haitokuwepo same like jinsi Urusi inaenda kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe kwa ujinga na tamaa ya Ardhi.
 
Watu tulionya since day one , watu wakaendeleza ushabiki , Mzungu anapokutafta huwa ameshakujua nje ndani , uimara wako na udhaifu wako , kimsingi jamaa walimuotea tuu wampeleke mbio ndefu , walijua tuu non stop hustle lazima utepete
Tuliwaambia wakatuita mashoga Kiko wapi[emoji16]
 
Wakimpindua huyo dikteta mwendawazimu itakuwa jambo la maana sana, kusababisha maafa makubwa sana ndani ya hii miaka miwili.
 
Ni hiari yako kuamini au kutoamini. Lakini hali inaonekana ni tete. Wapiganaji wa Wagner wameamua kumlinda kiongozi wao. Bahati mbaya kundi la Wagner ni jeshi kamili na limekwishateka ghala la silaha lililopo kusini mashariki mwa Russia.

Hapa Putin ana wakati.mgumu sana. Apigane na Wagner, apigane na Ukraine. Na ikidhihirika kwa uhakika kuwa Wagner wamekuwa maadui wa Putin, bila shaka Ukraine itawapa msaada, japo walikuwa maadui.
Ila nayo huenda ikawa ni mbinu ya kivita ya Putin
 
Ni hiari yako kuamini au kutoamini. Lakini hali inaonekana ni tete. Wapiganaji wa Wagner wameamua kumlinda kiongozi wao. Bahati mbaya kundi la Wagner ni jeshi kamili na limekwishateka ghala la silaha lililopo kusini mashariki mwa Russia.

Hapa Putin ana wakati.mgumu sana. Apigane na Wagner, apigane na Ukraine. Na ikidhihirika kwa uhakika kuwa Wagner wamekuwa maadui wa Putin, bila shaka Ukraine itawapa msaada, japo walikuwa maadui.
Ikidhibitika!?, kumbe hata wewe huna uhakika?,
 
Kiongozi wa RSF Kamanda Dagalo alikuwa sio tu msiri Bali Msaidizi makini sana wa Omar Albashiri na wakisaidiana sana kule Darfur lakini ndio huyo huyo alimuangamiza?

unajua kuwa waliomkosa kosa Nyerere 1983 kina Kapteni Maganga ndio hao hao waliomungamiza Iddy Amini?
Propaganda hizo,Wagner na Putin ni pete na kidole.
 
Back
Top Bottom